Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa upande wa taasisi uwa inakubali sema changamoto uwa Interview zinapangwa muda mmoja, hivyo itakulazimu kuchagua. Hii niliishudia ASA
 
Nyie kukandwa kubaya sana hasa kwa taasisi ambayo ulikuwa ukiikubali muda sana, mwenzenu Tangia nimekandwa na TRA najiona sipo sawa kabisa. Hii ni seriously guys.
Pole sana mkuu fanya subra ndo changamoto za utafutaji sio ww pekee uliekandwa watu 800+ wamekandwa kikubwa kuendlea kupambana kila mmoja ana wakati wake
 
Kidogo humu nikipitia comment kiasi najipa moyo, ila nikitulia mwenyewe napata shida sana
Mim pia nilikandwa hiyo TRA nilipata stress kubwa maana nilikua na matumaini this time i may pass to oral but mambo hayakua hivyo...nishapiga moyo konde n now am focusing forward...na hapa naanza msuli wa tpdc mdgo mdgo
 
Hapana Si mimi, ila niliishudia, watu wakifanya tena walipata bahati before ratiba ilikuwa imegongana lakini ilikuwa kuchange wakafanya accounts mchana
Me nilikuwa
I know ukizngatia nafasi ni nying zile hasa kwa kada y ict kujirdia nafasi nyingi vile sio leo but kikubwa ni kutumaini na kua na imani maisha yaendlee
Umejuaje ni ICT mkuu, yaani ni kiwaza hizi nafasi ndo nazidi kuumia
 
Upo sahihi, haswa ukiwa hujui ulipokosea ni wapi.

Nilikandwa TPA, ikafuata TASAC.. na zote nilifika oral. Yaan saivi nikiona hata logo za hizo taasisi nawamaind kichizi

Mungu atusaidie
Nyie kukandwa kubaya sana hasa kwa taasisi ambayo ulikuwa ukiikubali muda sana, mwenzenu Tangia nimekandwa na TRA najiona sipo sawa kabisa. Hii ni seriously guys.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…