Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa ninavyofahamu mimi,

Kama uta attarch hivyo vyeti kwenye Account yako ya PSRS/ Ajira portal utapewa access ya kuweza kuapply ajira zote kulingana na hizo degree zako za taaluma tofauti.

Lakini, mfano ulianza na diploma ya degree fulani, mfano ya Journalism then ukafanikiwa kupata degree ya Journalism. Hapo cheti utakachoambatanisha kweny account ndio kitakupa access ya kuomba kazi.

Ukiambatanisha diploma ya Journalism, tambua kua nafasi za degree hazitakuhusu, na ukiweka cha degree tambua kuwa nafasi za diploma ndio bye bye. Hii wameweka ili kuzuia watu kuomba multiple posts.

Pia, hata kwa taasisis moja huwezi omba kazi kwa post zaidi ya moja hata kama zote sifa unazo. Mfano kwa TRA , Tax mgt Officers II na Customs Mgt Officers II vigezo vinafanana ila ukiomba zote nafasi moja inakuwa pending.
Kwa upande wa taasisi uwa inakubali sema changamoto uwa Interview zinapangwa muda mmoja, hivyo itakulazimu kuchagua. Hii niliishudia ASA
 
Nyie kukandwa kubaya sana hasa kwa taasisi ambayo ulikuwa ukiikubali muda sana, mwenzenu Tangia nimekandwa na TRA najiona sipo sawa kabisa. Hii ni seriously guys.
Pole sana mkuu fanya subra ndo changamoto za utafutaji sio ww pekee uliekandwa watu 800+ wamekandwa kikubwa kuendlea kupambana kila mmoja ana wakati wake
 
Kidogo humu nikipitia comment kiasi najipa moyo, ila nikitulia mwenyewe napata shida sana
Mim pia nilikandwa hiyo TRA nilipata stress kubwa maana nilikua na matumaini this time i may pass to oral but mambo hayakua hivyo...nishapiga moyo konde n now am focusing forward...na hapa naanza msuli wa tpdc mdgo mdgo
 
Hapana Si mimi, ila niliishudia, watu wakifanya tena walipata bahati before ratiba ilikuwa imegongana lakini ilikuwa kuchange wakafanya accounts mchana
Me nilikuwa
I know ukizngatia nafasi ni nying zile hasa kwa kada y ict kujirdia nafasi nyingi vile sio leo but kikubwa ni kutumaini na kua na imani maisha yaendlee
Umejuaje ni ICT mkuu, yaani ni kiwaza hizi nafasi ndo nazidi kuumia
 
Upo sahihi, haswa ukiwa hujui ulipokosea ni wapi.

Nilikandwa TPA, ikafuata TASAC.. na zote nilifika oral. Yaan saivi nikiona hata logo za hizo taasisi nawamaind kichizi

Mungu atusaidie
Nyie kukandwa kubaya sana hasa kwa taasisi ambayo ulikuwa ukiikubali muda sana, mwenzenu Tangia nimekandwa na TRA najiona sipo sawa kabisa. Hii ni seriously guys.
 
Back
Top Bottom