Acheni Roho mbaya , vijana wameamua kujiongeza kielimu nyie mkaona wao watafaidi. Kila MTU anahaki ya kuomba KAZI anayotaka
Hata mm siamin hyo roho mbya anamaanisha weweBila shaka unamaanisha PSRS mkuu, mimi nilikuwa najibu post ya mdau tu.
Nikusahihishe, hakuna kazi "za zoa zoa" huko serikalini. Kila kazi ina vigezo vyake.Nashauri aweke zote, halafu kazi zikiwa zinatoka anaangalia wanahitaji watu wenye qualifications zipi then anafuta moja. Kwa hapo tu ndo inawezekana unless kazi ni zile za zoa zoa za kila course wanataka mfano TRA
Nani mwenye roho mbaya, jamaa aliyechangia kuhusu namna mfumo unavofanya kazi, au, namna utumishi wanavotekeleza huo mfumo wako katika swala hili?Acheni Roho mbaya , vijana wameamua kujiongeza kielimu nyie mkaona wao watafaidi. Kila MTU anahaki ya kuomba KAZI anayotaka
Ujobless ni full stress hata ukisalimiwa unahisi unatukanwa😂😂😂Nani mwenye roho mbaya, jamaa aliyechangia kuhusu namna mfumo unavofanya kazi, au, namna utumishi wanavotekeleza huo mfumo wako katika swala hili?
Hii haikubaliki, ukishaupload tu imekula kwako, kufuta ni mpaka uwasiliane naoNashauri aweke zote, halafu kazi zikiwa zinatoka anaangalia wanahitaji watu wenye qualifications zipi then anafuta moja. Kwa hapo tu ndo inawezekana unless kazi ni zile za zoa zoa za kila course wanataka mfano TRA
Pole sana, Mungu kakupangia kitu kuzuri zaidi, endelea kumuomba, don't lose hope and never forget to pray, failure is the way to successNyie kukandwa kubaya sana hasa kwa taasisi ambayo ulikuwa ukiikubali muda sana, mwenzenu Tangia nimekandwa na TRA najiona sipo sawa kabisa. Hii ni seriously guys.
Nahisi hujanielewa kaka, nmemaanisha zoa zoa meaning kazi moja unakuta wanataka watu waliosoma course tofauti mpaka course 7 au 10. TPA pia ilikuwa course 11 kwenye post ya operation officer. Ila kuna kazi zile specific zinataka mtu wa course fulani tu. That's what I meant mkuuNikusahihishe, hakuna kazi "za zoa zoa" huko serikalini. Kila kazi ina vigezo vyake.
Hii text ungeenda kuwacommentia kule kwenye uzi wao PSRS, Hapa huyu kaka alivyoelezea ndivyo mfumo unavyofanya kazi ata mimi kuna kazi zinanigomea ilimradi vigezo nimekidhi ni kawaida. Inabidi tu ucheze na mfumo.Acheni Roho mbaya , vijana wameamua kujiongeza kielimu nyie mkaona wao watafaidi. Kila MTU anahaki ya kuomba KAZI anayotaka
Amina, na Asante kwa kunitia moyoP MNMPole sana, Mungu kakupangia kitu kuzuri zaidi, endelea kumuomba, don't lose hope and never forget to pray, failure is the way to success
Achana na placement mkuu nimekuona kwenye Uzi wa magari unachangia unataka kununua Subaru Forester XT dah jobless kumbe una Hela tu unatusumbua hapa🤣Ety wadau.. zile kazi nyingi za chuo kikuu Dar es salaam.. walishatoa placements tayari...?
Wewe kule ulifuata nn mkuu inaonesha una hela mkuu 😁Achana na placement mkuu nimekuona kwenye Uzi wa magari unachangia unataka kununua Subaru Forester XT dah jobless kumbe una Hela tu unatusumbua hapa🤣
Nilikuja Kuja kukuchunguza (jokes)Wewe kule ulifuata nn mkuu inaonesha una hela mkuu 😁
Yaaah, basi wote ndo target yetu.. me Mtoto wa mjini Sasa why hata chimbo za magari nishindwe kuzijua.. Nazijua gari kuliko hata hao wanaomiliki magari.. Nami soon ntavuta yangu😃Nilikuja Kuja kukuchunguza (jokes)
Najifunza kuhusu magari 2025 navuta chuma mkuu(uhakika 🤣)
Nafikiri una ujumbe mzuri, namna ya kuufikisha ndo mtihani. Unaweza taja hata post moja inayohitaji watu course moja tu.Nahisi hujanielewa kaka, nmemaanisha zoa zoa meaning kazi moja unakuta wanataka watu waliosoma course tofauti mpaka course 7 au 10. TPA pia ilikuwa course 11 kwenye post ya operation officer. Ila kuna kazi zile specific zinataka mtu wa course fulani tu. That's what I meant mkuu
Kama mie tu magari Sasa nayajua na nikingia job ndo kabisa mie na jamaaa anayefundisha mechanic 🧰 lazima tuwe marafiki kila siku kama Sina kipindi naenda kula SoMo Bure bila kulipa AdaYaaah, basi wote ndo target yetu.. me Mtoto wa mjini Sasa why hata chimbo za magari nishindwe kuzijua.. Nazijua gari kuliko hata hao wanaomiliki magari.. Nami soon ntavuta yangu😃
Hope umeelewa broNafikiri una ujumbe mzuri, namna ya kuufikisha ndo mtihani. Unaweza taja hata post moja inayohitaji watu course moja tu.