Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndo hayo matumaini feki yameniponzaa
Naona habari ITV hapa kuhusu vyuo vya VETA nchini...serikali imekataa kuongeza pesa za kumalizia ujenzi wa vyuo kwa hesabu walizoletewa siyo halisi. Ni huko Mafia.

Pia imesemwa kuwa vyuo hivyo vinatarajiwa kufunguliwa mwezi huu tarehe 16. So naona uko mbioni kuitwa mkuu ukaanze majukumu.
 
Sijajua hiyo habari mie najua vinavyofunguliwa tarehe 16 ni hivi vya zamani maana hivi vipya Bado havijakamlika na Wala hakuna aliyeomba kusoma Kwa sababu hawajaruhusu
 
Naona habari ITV hapa kuhusu vyuo vya VETA nchini...serikali imekataa kuongeza pesa za kumalizia ujenzi wa vyuo kwa hesabu walizoletewa siyo halisi. Ni huko Mafia.

Pia imesemwa kuwa vyuo hivyo vinatarajiwa kufunguliwa mwezi huu tarehe 16. So naona uko mbioni kuitwa mkuu ukaanze majukumu.
Nimeona jamaaa wamepeleka hesabu za million 70+ wakati inatakiwa kama 34 tu hahahaha hawa ndo Wananichelewesha mamaeeee zao
 
Back
Top Bottom