Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Nini kaka🤣🤣 Ngoja nikalale tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kaka🤣🤣 Ngoja nikalale tu
Nini kaka
Hata check number Sina😂😂Tembeza vocha mlamba asali!!!
Haina shida, unapandisha tu vyote, system ina soma kama kawa.
Nashauri aweke zote, halafu kazi zikiwa zinatoka anaangalia wanahitaji watu wenye qualifications zipi then anafuta moja. Kwa hapo tu ndo inawezekana unless kazi ni zile za zoa zoa za kila course wanataka mfano TRA
Hii haikubaliki, ukishaupload tu imekula kwako, kufuta ni mpaka uwasiliane nao
Wengine hayo masharti yanatupiga knock out kabla hata ya mbungi yenyewe kuanzaMengi sana lkn karata inatupwa kokote mkuu
hahahaha hahahahaHata check number Sina😂😂
Hapo kweli, maana mbugi yake sio ya mchezo!Wengine hayo masharti yanatupiga knock out kabla hata ya mbungi yenyewe kuanza
Huko nyuma iliwaletea usumbufu PSRS maana watu walikuwa wanaomba nafasi tofauti tofauti kwa kutumia level tofauti za kitaaluma.Asante sana komredi, hii ya kufuta sio kwamba iliwezekana kipindi cha nyuma ila kwa sasa haiwezekani tena mpaka kuwasiliana nao?
Wameshindwa tu kuandaa mfumo mzuri wa kufanya haya mambo (kuwa na database ya diploma na degree).Huko nyuma iliwaletea usumbufu PSRS maana watu walikuwa wanaomba nafasi tofauti tofauti kwa kutumia level tofauti za kitaaluma.
Unakuta kaomba kwa sifa ya Diploma, halafu anafuta anaweka nyaraka za Bachelor anaomba nafasi nyingine tena.
Sasa wakianza kuchambua wanakuta mvurugano, mfano kama ulianza kuomba kwa sifa ya Degree halafu ukafuta ili uombe kwa Sifa ya Diploma, wakija kuanza kuchambua wanakuta vyaraka za Degree hazipo maana ulizifuta. Na hauwezi kusema nitegeshee wakianza kuchambua uzirudishe hizo nyaraka maana hujui ni lini wanafanya uchambuzi
Hayo hayashindikani ila mtakuwa tayari kuyapokea?Wameshindwa tu kuandaa mfumo mzuri wa kufanya haya mambo (kuwa na database ya diploma na degree).
Tupo 2023 hakuna kitu kinachoshindikana kwenye ulimwengu huu ya sayansi ya teknolojia.
Basi system inabidi itoe cheque number mbili yani ya dip na degree.Hayo hayashindikani ila mtakuwa tayari kuyapokea?
Mfano, umesoma kuanzia Certificate hadi ukafika Degree ila haujawahi kuajiriwa na Gavo, ukiangalia kitaa Jua limewaka unahitaji kazi, na bahati nzuri kazi zinazohitaji entry level ya Diploma zikatangazwa ukaomba na ukapata.
Ukaingia huko na Cheaque namba ukapewa ambayo itakutambua ni mtu wa Diploma na ikakunyima access ya kupata kazi kwa ngazi ya degree. Hili utakubaliana nalo?
Huko nyuma iliwaletea usumbufu PSRS maana watu walikuwa wanaomba nafasi tofauti tofauti kwa kutumia level tofauti za kitaaluma.
Unakuta kaomba kwa sifa ya Diploma, halafu anafuta anaweka nyaraka za Bachelor anaomba nafasi nyingine tena.
Sasa wakianza kuchambua wanakuta mvurugano, mfano kama ulianza kuomba kwa sifa ya Degree halafu ukafuta ili uombe kwa Sifa ya Diploma, wakija kuanza kuchambua wanakuta vyaraka za Degree hazipo maana ulizifuta. Na hauwezi kusema nitegeshee wakianza kuchambua uzirudishe hizo nyaraka maana hujui ni lini wanafanya uchambuzi
Ahsante kwa ufafanuzi mkuuNow nimekua mzembe kuandika ila kuwasaidia tu ,
"kuhusu hili la kuzuia mwenye degree kuomba kazi ya chini mfano diploma au certificate kata kama ana vyeti husika ni kuweka educational equality na usawa wa uwezo wa wasailiwa kwenye nafasi husika mfano Mtu mwenye degree na ana vyeti vya certificate na diploma akiomba kufanya interview na watu certificate ana asalimia 99 kama sio 100% kufaulu usail kuliko huyo Mtu wa certificate na Hilo lishatokea sana kipindi Cha nyuma"
by mkandajia akaendelea akatoa tena mfano
"hata kwenye ngumi huwa wanapimwa uzito na kupiganishwa watu wenye uzito unaowiana haya ndo majibu ya uhakika na yanayoleetaa maana"
jamaaa akaendelea kusema
"mara nyingi Ukiona Mtu mwenye degree anataka kufanya interview na watu wa chini yake huyo Mtu ameshazidiwa uwezo na wenzie wa degree so akaona akimbilie chini huenda akapa nafuu pia wengine huwa wanatamaa tu akiona kozi aliyosoma anataka aombe wakati elimu yake ya Sasa ni ya juu na uwezo na maarifa hayapungui kisa umeomba kazi ya chini utafanya interview ukiwa na uwezo tofauti na wenzio na hakutakua na usawa"
(Hilo swali Kuna mdau aliuzaga tukiwa nje tunasubili kufanya practical interview aliuliza why system hairuhusu Mtu mwenye diploma kuomba kazi ya certificate jamaaa ndo akatueleza hayo)
Kwa hiyo ni Sawa MTU wa masters akafanya interview na wa degree, ila wa TZ ubinafsi punguzeni aseeNow nimekua mzembe kuandika ila kuwasaidia tu ,
"kuhusu hili la kuzuia mwenye degree kuomba kazi ya chini mfano diploma au certificate kata kama ana vyeti husika ni kuweka educational equality na usawa wa uwezo wa wasailiwa kwenye nafasi husika mfano Mtu mwenye degree na ana vyeti vya certificate na diploma akiomba kufanya interview na watu certificate ana asalimia 99 kama sio 100% kufaulu usail kuliko huyo Mtu wa certificate na Hilo lishatokea sana kipindi Cha nyuma"
by mkandajia akaendelea akatoa tena mfano
"hata kwenye ngumi huwa wanapimwa uzito na kupiganishwa watu wenye uzito unaowiana haya ndo majibu ya uhakika na yanayoleetaa maana"
jamaaa akaendelea kusema
"mara nyingi Ukiona Mtu mwenye degree anataka kufanya interview na watu wa chini yake huyo Mtu ameshazidiwa uwezo na wenzie wa degree so akaona akimbilie chini huenda akapa nafuu pia wengine huwa wanatamaa tu akiona kozi aliyosoma anataka aombe wakati elimu yake ya Sasa ni ya juu na uwezo na maarifa hayapungui kisa umeomba kazi ya chini utafanya interview ukiwa na uwezo tofauti na wenzio na hakutakua na usawa"
(Hilo swali Kuna mdau aliuzaga tukiwa nje tunasubili kufanya practical interview aliuliza why system hairuhusu Mtu mwenye diploma kuomba kazi ya certificate jamaaa ndo akatueleza hayo)
Master ni degree mkuu au hujui?Kwa hiyo ni Sawa MTU wa masters akafanya interview na wa degree, ila wa TZ ubinafsi punguzeni asee