Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Bado bila bila mkuu.

Hii web ya psrs ingekuwa ni dawa ingekuwa ishaniua maana kwa siku naichungulia/nainywa zaidi ya mara 20[emoji3][emoji3][emoji3]
Noma sana asee.Kusubiria Placements ni mtihani sana,Yaani unaweza Kuta mambo mengi hayaendi kila ukikumbuka ulifanya usaili ni presha mwendo wa presha.
Unatamani ujue kama umekandwa au vipi.
 
Naam...niliona kuna ujumbe fulani huko nyuma ulimjibu kwa ID ya Prok..akaja kujibu kwa ID hii..basi nika connect dots. Ana maintain anonymity maana tarehe za kulamba asali zimekaribia...ha ha ha.
Aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naam...niliona kuna ujumbe fulani huko nyuma ulimjibu kwa ID ya Prok..akaja kujibu kwa ID hii..basi nika connect dots. Ana maintain anonymity maana tarehe za kulamba asali zimekaribia...ha ha ha.
Nishaona mkuu, tuishi..
 
Tupe michapo basi Toka inaingia mpaka unatoka kwenye panel.. maana Wenda Now mwaka mpya wamekuja kivingine.. tupa Nondo hapa mkuu maana najua ushaingia TRA wewe ni uhakika
Kiukweli mkuu leo panelist wamekua fair sana tokea interview imeanza walikua na tabia za kutupanikisha ila leo hekima ilikua juu sana wametucomfort na kutufanya tujiskie nyumbani unaweza kujieleza bila presa wala uoga.

Maswali yalikua standard ni wewe na uwezo wako wa kujieleza
 
Prok umekuja na ID nyingine siyo?[emoji102]
Yes
Mimi ndo ndiye[emoji23][emoji23][emoji23].

Mimi wala sifichi na bado ukitaka nijua mimi ni nani unaweza tu maana at the same time nafanya biashara. Sina cha kuficha always real.

Nmebadilisha ID kwa sababu nyingine maalum ila about being anonymous sina cha kuficha ndugu zanguni[emoji23]
 
Yes
Mimi ndo ndiye[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi wala sifichi na bado ukitaka nijua mimi ni nani unaweza tu maana at the same time nafanya biashara. Sina cha kuficha always real.
Nmebadilisha ID kwa sababu nyingine maalum ila about being anonymous sina cha kuficha ndugu zanguni[emoji23]
Usijali Odo wake Junior wangu[emoji3][emoji3]

Tupo pamoja!!
 
Back
Top Bottom