mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Noma sana asee.Kusubiria Placements ni mtihani sana,Yaani unaweza Kuta mambo mengi hayaendi kila ukikumbuka ulifanya usaili ni presha mwendo wa presha.Bado bila bila mkuu.
Hii web ya psrs ingekuwa ni dawa ingekuwa ishaniua maana kwa siku naichungulia/nainywa zaidi ya mara 20[emoji3][emoji3][emoji3]
Unatamani ujue kama umekandwa au vipi.