Amen Amen[emoji1431][emoji23][emoji23]🥱.Usijali Odo wake Junior wangu[emoji3][emoji3]
Tupo pamoja!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen Amen[emoji1431][emoji23][emoji23]🥱.Usijali Odo wake Junior wangu[emoji3][emoji3]
Tupo pamoja!!
Yaan atawaza mmh huyu dada kilaza kweli na kwenye mia mbili kakosa[emoji23][emoji23][emoji23], ujobless ulinivaa mara moja hasira zikapandaa[emoji1787]Utasikia wengi hivyo na umekosa
Hapana Ukiona wanakukazia sana unawadanganya tu hizi kazi za TRA bila connection hupati siku hizi mambo ya connection yamerudi afu ukifaulu sana wanakupa mark chache then waliofeli wanapitishwa ili wakashindwe kujibu oral wenye connection wapate then Baada ya hapo unapita zako hivi huyo kariakoo 🤣🤣🤣🤣Yaan atawaza mmh huyu dada kilaza kweli na kwenye mia mbili kakosa[emoji23][emoji23][emoji23], ujobless ulinivaa mara moja hasira zikapandaa[emoji1787]
Utasikia yaani na hizi nyingi umekosa, hizo za nafasi moja moja utaweza kweli.Yaan atawaza mmh huyu dada kilaza kweli na kwenye mia mbili kakosa[emoji23][emoji23][emoji23], ujobless ulinivaa mara moja hasira zikapandaa[emoji1787]
Umenikosha hapo kwa huyooo Kariakoo, hapo siwez kulala njaa[emoji23].Hapana Ukiona wanakukazia sana unawadanganya tu hizi kazi za TRA bila connection hupati siku hizi mambo ya connection yamerudi afu ukifaulu sana wanakupa mark ]
Hahahaha haya jobless nilikubamba sehemu dah Uzi wa wafanya biashara nikaona besa inayongiza acha nikae kimya tu nisimwage mchele kwenye kuku warohooooo 🤣🤣🤣Umenikosha hapo kwa huyooo Kariakoo, hapo siwez kulala njaa[emoji23]. Zamani nlikuwa namwambia mama yangu mkubwa ndo ananilea kuhusu interview sasa unakuta anapata pressure kuzidi mimi lol, simu hazikatiki nkasema sithubutu tena.
Jina la prok siliachi, nimelizoeaUmenikosha hapo kwa huyooo Kariakoo, hapo siwez kulala njaa[emoji23]. Zamani nlikuwa .
😂😂😂 Acha hizo🤣🤣🤣🤣🤣
Itabidi ufanye nae tour kule MMU.
Hahaaa natunguliza samahani lakini, hilo jina lako jipya nilikuwa nalisoma kama marijuana.Yes
Mimi ndo ndiye[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi wala sifichi na bado ukitaka nijua mimi ni nani unaweza tu maana at the same ]
Hii kitu ni kweli kwenye usaili wa ASA na TARI tulikuwa na watu wa masters wengi tu na walichezea ndoige,Master ni Added advantage sio entry level, otherwise waseme uwe na Master kama kwenye Assistant Lecture au Managerial position.
Ukiwa na Master mbona unakandwa vizuri tu kwenye written za PSRS.
Written yangu ya ORCI kulikuwa na wenye Masters ila wote tulichezea kichapo, yaani wote wenye masters pamoja na mimi tulikandwa, oral tukawa tunaisikia kwa akina wizy.
Namshukuru Mungu kwa mara ya kwanza leo nimekaa mbele ya panel la utumishi Mungu mkubwa.
Kiukweli mkuu leo panelist wamekua fair sana tokea interview imeanza walikua na tabia za kutupanikisha ila leo hekima ilikua juu sana wametucomfort na kutufanya tujiskie nyumbani unaweza kujieleza bila presa wala uoga.
Maswali yalikua standard ni wewe na uwezo wako wa kujieleza
Hapana Ukiona wanakukazia sana unawadanganya tu hizi kazi za TRA bila connection hupati siku hizi mambo ya connection yamerudi afu ukifaulu sana wanakupa mark chache then waliofeli wanapitishwa ili wakashindwe kujibu oral wenye connection wapate then Baada ya hapo unapita zako hivi huyo kariakoo 🤣🤣🤣🤣
Huo uzi ndo umenifanya nibadili ID na kuufuta lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watanzania wengi wavivu na hawana shukrani, wachache nliwasaidia na nashukuru Mungu we are getting along.... Ila nmekuja kuona why hatuendelei, tutabaki kulilia ujobless [emoji23][emoji23]Hahahaha haya jobless nilikubamba sehemu dah Uzi wa wafanya biashara nikaona besa inayongiza acha nikae kimya tu nisimwage mchele kwenye kuku warohooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We nae mimi sio Prok[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jina la prok siliachi, nimelizoea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], We kazi unayo tyar sa sijui utakuwa unasumbuliwa na nini[emoji23][emoji23]Hahaaa natunguliza samahani lakini, hilo jina lako jipya nilikuwa nalisoma kama marijuana, yaani ndio kitu kilichokuja kichwani pale nikiposoma jina lako... Lakini msinishitaki watu wa Sheria[emoji23][emoji23]
Hapana huu ni wa nafasi 26 tulikua 59Hii oral mliofanya ndio wale wa nafasi 50 halafu usaili wa vitendo mkafaulu 48?.
Embu tupe experience yako na share baadhi ya maswali ulioulizwa tufahamu muundo wa maswali ni mention au explain points zako tano tano ...wasaidie jobless wenzio wawewanajua wakiingia oral mfumo wa maswali uko hv TwinaweNamshukuru Mungu kwa mara ya kwanza leo nimekaa mbele ya panel la utumishi Mungu mkubwa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hahaaa natunguliza samahani lakini, hilo jina lako jipya nilikuwa nalisoma kama marijuana, yaani ndio kitu kilichokuja kichwani pale nikiposoma jina lako... Lakini msinishitaki watu wa Sheria😂😂