Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kuna siku nilikuona kule, ukawa unahadithia hatua mbili tatu kuhusu biashara, baadaye nikaona watu wakaanza kukuomba mtete PM.Huo uzi ndo umenifanya nibadili ID na kuufuta lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watanzania wengi wavivu na hawana shukrani, wachache nliwasaidia na nashukuru Mungu we are getting along.... Ila nmekuja kuona why hatuendelei, tutabaki kulilia ujobless [emoji23][emoji23]
Mimi nilipita tu kimya kimya bila kutia neno wala like, maana ukilike, quote, reply tayari mtu anajua ushasoma post yake[emoji3][emoji3]