Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaan atawaza mmh huyu dada kilaza kweli na kwenye mia mbili kakosa[emoji23][emoji23][emoji23], ujobless ulinivaa mara moja hasira zikapandaa[emoji1787]
Hapana Ukiona wanakukazia sana unawadanganya tu hizi kazi za TRA bila connection hupati siku hizi mambo ya connection yamerudi afu ukifaulu sana wanakupa mark chache then waliofeli wanapitishwa ili wakashindwe kujibu oral wenye connection wapate then Baada ya hapo unapita zako hivi huyo kariakoo 🤣🤣🤣🤣
 
Hapana Ukiona wanakukazia sana unawadanganya tu hizi kazi za TRA bila connection hupati siku hizi mambo ya connection yamerudi afu ukifaulu sana wanakupa mark ]
Umenikosha hapo kwa huyooo Kariakoo, hapo siwez kulala njaa[emoji23].

Zamani nlikuwa namwambia mama yangu mkubwa ndo ananilea kuhusu interview sasa unakuta anapata pressure kuzidi mimi lol, simu hazikatiki nkasema sithubutu tena.
 
Umenikosha hapo kwa huyooo Kariakoo, hapo siwez kulala njaa[emoji23]. Zamani nlikuwa namwambia mama yangu mkubwa ndo ananilea kuhusu interview sasa unakuta anapata pressure kuzidi mimi lol, simu hazikatiki nkasema sithubutu tena.
Hahahaha haya jobless nilikubamba sehemu dah Uzi wa wafanya biashara nikaona besa inayongiza acha nikae kimya tu nisimwage mchele kwenye kuku warohooooo 🤣🤣🤣
 
Yes
Mimi ndo ndiye[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi wala sifichi na bado ukitaka nijua mimi ni nani unaweza tu maana at the same ]
Hahaaa natunguliza samahani lakini, hilo jina lako jipya nilikuwa nalisoma kama marijuana.

Yaani ndio kitu kilichokuja kichwani pale nikiposoma jina lako... Lakini msinishitaki watu wa Sheria😂😂
 
Master ni Added advantage sio entry level, otherwise waseme uwe na Master kama kwenye Assistant Lecture au Managerial position.

Ukiwa na Master mbona unakandwa vizuri tu kwenye written za PSRS.

Written yangu ya ORCI kulikuwa na wenye Masters ila wote tulichezea kichapo, yaani wote wenye masters pamoja na mimi tulikandwa, oral tukawa tunaisikia kwa akina wizy.
Hii kitu ni kweli kwenye usaili wa ASA na TARI tulikuwa na watu wa masters wengi tu na walichezea ndoige,
 
Kiukweli mkuu leo panelist wamekua fair sana tokea interview imeanza walikua na tabia za kutupanikisha ila leo hekima ilikua juu sana wametucomfort na kutufanya tujiskie nyumbani unaweza kujieleza bila presa wala uoga.

Maswali yalikua standard ni wewe na uwezo wako wa kujieleza

Hii oral mliofanya ndio wale wa nafasi 50 halafu usaili wa vitendo mkafaulu 48?.
 
Hapana Ukiona wanakukazia sana unawadanganya tu hizi kazi za TRA bila connection hupati siku hizi mambo ya connection yamerudi afu ukifaulu sana wanakupa mark chache then waliofeli wanapitishwa ili wakashindwe kujibu oral wenye connection wapate then Baada ya hapo unapita zako hivi huyo kariakoo 🤣🤣🤣🤣

Shida inapokuja ni kwamba wanaokuuliza wengi ni wajuvi wa haya mambo. Na wengine pia wapo Serikalini na wanajua jinsi mfumo unavyofanya kazi kwa sasa.

Kwa hyo ni vigumu kuwadanganya, mimi huwa nasema tu maksi zangu hazijatosha kuniruhusu kusonga mbele.

Ova.
 
Mabadiliko ya venue kwa customs officers n.k TRA
sekretarieti_ya_ajira-20230104-0001.jpg


Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha haya jobless nilikubamba sehemu dah Uzi wa wafanya biashara nikaona besa inayongiza acha nikae kimya tu nisimwage mchele kwenye kuku warohooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo uzi ndo umenifanya nibadili ID na kuufuta lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watanzania wengi wavivu na hawana shukrani, wachache nliwasaidia na nashukuru Mungu we are getting along.... Ila nmekuja kuona why hatuendelei, tutabaki kulilia ujobless [emoji23][emoji23]
 
Hahaaa natunguliza samahani lakini, hilo jina lako jipya nilikuwa nalisoma kama marijuana, yaani ndio kitu kilichokuja kichwani pale nikiposoma jina lako... Lakini msinishitaki watu wa Sheria[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], We kazi unayo tyar sa sijui utakuwa unasumbuliwa na nini[emoji23][emoji23]
 
Namshukuru Mungu kwa mara ya kwanza leo nimekaa mbele ya panel la utumishi Mungu mkubwa.
Embu tupe experience yako na share baadhi ya maswali ulioulizwa tufahamu muundo wa maswali ni mention au explain points zako tano tano ...wasaidie jobless wenzio wawewanajua wakiingia oral mfumo wa maswali uko hv Twinawe
 
Hahaaa natunguliza samahani lakini, hilo jina lako jipya nilikuwa nalisoma kama marijuana, yaani ndio kitu kilichokuja kichwani pale nikiposoma jina lako... Lakini msinishitaki watu wa Sheria😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom