Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nashauri aweke zote, halafu kazi zikiwa zinatoka anaangalia wanahitaji watu wenye qualifications zipi then anafuta moja. Kwa hapo tu ndo inawezekana unless kazi ni zile za zoa zoa za kila course wanataka mfano TRA
Nikusahihishe, hakuna kazi "za zoa zoa" huko serikalini. Kila kazi ina vigezo vyake.
 
Nikusahihishe, hakuna kazi "za zoa zoa" huko serikalini. Kila kazi ina vigezo vyake.
Nahisi hujanielewa kaka, nmemaanisha zoa zoa meaning kazi moja unakuta wanataka watu waliosoma course tofauti mpaka course 7 au 10. TPA pia ilikuwa course 11 kwenye post ya operation officer. Ila kuna kazi zile specific zinataka mtu wa course fulani tu. That's what I meant mkuu
 
Acheni Roho mbaya , vijana wameamua kujiongeza kielimu nyie mkaona wao watafaidi. Kila MTU anahaki ya kuomba KAZI anayotaka
Hii text ungeenda kuwacommentia kule kwenye uzi wao PSRS, Hapa huyu kaka alivyoelezea ndivyo mfumo unavyofanya kazi ata mimi kuna kazi zinanigomea ilimradi vigezo nimekidhi ni kawaida. Inabidi tu ucheze na mfumo.
 
Nahisi hujanielewa kaka, nmemaanisha zoa zoa meaning kazi moja unakuta wanataka watu waliosoma course tofauti mpaka course 7 au 10. TPA pia ilikuwa course 11 kwenye post ya operation officer. Ila kuna kazi zile specific zinataka mtu wa course fulani tu. That's what I meant mkuu
Nafikiri una ujumbe mzuri, namna ya kuufikisha ndo mtihani. Unaweza taja hata post moja inayohitaji watu course moja tu.
 
Yaaah, basi wote ndo target yetu.. me Mtoto wa mjini Sasa why hata chimbo za magari nishindwe kuzijua.. Nazijua gari kuliko hata hao wanaomiliki magari.. Nami soon ntavuta yangu😃
Kama mie tu magari Sasa nayajua na nikingia job ndo kabisa mie na jamaaa anayefundisha mechanic 🧰 lazima tuwe marafiki kila siku kama Sina kipindi naenda kula SoMo Bure bila kulipa Ada
 
Back
Top Bottom