Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
🤣🤣Hapana kakaHahahahaha! Mkuu huu ukarimu umetoa wapi? Mbona wewe ni mwenzetu tunakujua vizuri, au kwa sababu ni ......... ndio unataka kujijazia nyama peke yako.
Sawa mkuu maana nikiona kimyaNipo mkuu!hizi wiki mbili nimebanika mahali nasaka tonge.huku nachungulia tu nalike natoka ila tuko pamoja sanaaaa mpaka kieleweke
Mkuu umeshàanza kupiga kazi?🤣🤣Hapana kaka
Nipo Sanaa kaka👋Sawa mkuu maana nikiona kimya
Bado kakaMkuu umeshàanza kupiga kazi?
Ya inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.Hiyo selected for null maanayke ni selected for oral...hiyo null ni database error tu haina maana yyte...status hubakia vile vile selected for oral kw mtu aliefika oral kwa aliepta placement au asiepata placement
Hivi kuna waliopiga oral,afu kwenye app wameandikiwa non selected for null? Nisaidie bro kama unauelewa na hii kituYa inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.
Na mpaka leo hakuna ushuhuda humu mtu mwenye ""not selected for null""" kalamba asali, isipo kua wote waliolamba asali wana ""selected for null"".
Navo hisi selected for null ni umepata passmark inayotakiwa oral, so unaweza faulu lakini umefaulu kwa kiwango gani. nafasi ipo moja, sawa wote mna passmark(selected for null) but wawo watamchukua mwenye passmark kubwa coz nafasi ni moja.
Wapo kaka, pia kupata selected for null, sio kwamba ndo 100% umepata kazi.Hivi kuna waliopiga oral,afu kwenye app wameandikiwa non selected for null? Nisaidie bro kama unauelewa na hii kitu
Sawa sawa broWapo kaka, pia kupata selected for null, sio kwamba ndo 100% umepata kazi.
Jamaa karudi na nguvu mpya 🤣🤣Wizy achana na mjadala wa status, tulipumua kipindi ulipotoweka[emoji3][emoji3].
Sasa umerudi naona umeanza pale ulipoishia....
Wizy achana na mjadala wa status, tulipumua kipindi ulipotoweka[emoji3][emoji3].
Sasa umerudi naona umeanza pale ulipoishia....
Not Selected for Null ni Kwamba umefeli Written kwenda Oral...Ya inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.
Na mpaka leo hakuna ushuhuda humu mtu mwenye ""not selected for null""" kalamba asali, isipo kua wote waliolamba asali wana ""selected for null"".
Navo hisi selected for null ni umepata passmark inayotakiwa oral, so unaweza faulu lakini umefaulu kwa kiwango gani. nafasi ipo moja, sawa wote mna passmark(selected for null) but wawo watamchukua mwenye passmark kubwa coz nafasi ni moja.
Umesema kweli....atuletee ushahid alifaulu wrtten alaf ana not selcted for nullNot Selected for Null ni Kwamba umefeli Written kwenda Oral...
Unachokisema hapa unatudanganya Mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mwamba kashindwa kuvumilia imebidi ajionyeshe tuu tabia yake.Wizy achana na mjadala wa status, tulipumua kipindi ulipotoweka[emoji3][emoji3].
Sasa umerudi naona umeanza pale ulipoishia....
Na wewe unaamini maneno ya Wizzy???Hyo "Not selected for null" baada ya kufanya Oral,,, hapo ushaliwa Kichwa hata database haupo😜..
Technologia haina MBAMBAMBA 😂😂
Huyu Wizy Wala hakosei.. Haya mambo ya Status ni muhimu sana..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mwamba kashindwa kuvumilia imebidi ajionyeshe tuu tabia yake.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ndo hamna ss mtu aliefik oral alafu ana not selected for null...mlete ushahidHyo "Not selected for null" baada ya kufanya Oral,,, hapo ushaliwa Kichwa hata database haupo😜..
Technologia haina MBAMBAMBA 😂😂