Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hiyo selected for null maanayke ni selected for oral...hiyo null ni database error tu haina maana yyte...status hubakia vile vile selected for oral kw mtu aliefika oral kwa aliepta placement au asiepata placement
Ya inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.

Na mpaka leo hakuna ushuhuda humu mtu mwenye ""not selected for null""" kalamba asali, isipo kua wote waliolamba asali wana ""selected for null"".

Navo hisi selected for null ni umepata passmark inayotakiwa oral, so unaweza faulu lakini umefaulu kwa kiwango gani. nafasi ipo moja, sawa wote mna passmark(selected for null) but wawo watamchukua mwenye passmark kubwa coz nafasi ni moja.
 
Hivi kuna waliopiga oral,afu kwenye app wameandikiwa non selected for null? Nisaidie bro kama unauelewa na hii kitu
 
Ya inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.

Na mpaka leo hakuna ushuhuda humu mtu mwenye ""not selected for null""" kalamba asali, isipo kua wote waliolamba asali wana ""selected for null"".

Navo hisi selected for null ni umepata passmark inayotakiwa oral, so unaweza faulu lakini umefaulu kwa kiwango gani. nafasi ipo moja, sawa wote mna passmark(selected for null) but wawo watamchukua mwenye passmark kubwa coz nafasi ni moja.
Not Selected for Null ni Kwamba umefeli Written kwenda Oral...
Unachokisema hapa unatudanganya Mkuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mwamba kashindwa kuvumilia imebidi ajionyeshe tuu tabia yake.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Huyu Wizy Wala hakosei.. Haya mambo ya Status ni muhimu sana..
Kama umefanya Oral na imefika miezi miwili mpaka sasa na status inasoma Selected for Null hapo umeula Endelea kuagiza beer tu hapo Bar... Hii ni bila kujali utatokea kwenye correct placements au lile pdf la vumbivumbi utakuwepo tena Taasisi poa
 
Back
Top Bottom