Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sasa tusubiri hadi tarehe 9 mzee wa flash atatusurprise na ka placement kama ilivyokuwa December[emoji3][emoji3]
 
November je.....
Kwa trend yao hawa jamaa wanatoa placements in sequence first in first out. Unless taasisi husika iwe na uharaka sana ndiyo mnaweza kuitwa kabla ya waliotangulia kufanya usaili kabla yenu.

So hopefully wa November ni mpaka za October ziishe. Au exception ni kama mojawapo ya taasisi inawahitaji watu wake ASAP.
 
Kwa trend yao hawa jamaa wanatoa placements in sequence first in first out. Unless taasisi husika iwe na uharaka sana ndiyo mnaweza kuitwa kabla ya waliotangulia kufanya usaili kabla yenu.

So hopefully wa November ni mpaka za October ziishe. Au exception ni kama mojawaponya taasisi inawahitaji watu wake ASAP.
Hapo sawa,kama ilivyokuwa wale wa SUA,mapema tu wameitwa.
 
Back
Top Bottom