Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Wengine wanaita Da PGOWe nae mimi sio Prok[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wanaita Da PGOWe nae mimi sio Prok[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lala tu maisha uhakika now....jamani mjue hata usingizi sina kabisa
Sijawahi kusema mimi wa kiume, sema nyie ndo mlikuwa mnaniona wa kiume[emoji23]Mi nakufatilia tang hujabadili id yako ya mwanzo ilioleta sintofahamu, ulipokuwa unasema ww n wa kiume.
Check ur PM [emoji4]Hebu taja handle ya Instagram ya business yako tuwe tunapitapita kuosha macho.
uPGO huu utaniua[emoji23][emoji23][emoji23]Wengine wanaita Da PGO
asante kaka
Lazima uone kunachelewa kuchajamani mjue hata usingizi sina kabisa
kabisa kaka usingizi hupatiLazima uone kunachelewa kucha
Hahahahaajamani mjue hata usingizi sina kabisa
uhakika kaka andaa suti ushapitaSasa tusubiri hadi tarehe 9 mzee wa flash atatusurprise na ka placement kama ilivyokuwa December[emoji3][emoji3]
watu wa October tukae mkao wa kula sasa...Sasa tusubiri hadi tarehe 9 mzee wa flash atatusurprise na ka placement kama ilivyokuwa December[emoji3][emoji3]
Hakika wote humu tutalamba asali ni swala la mda.
🤣🤣🤣 status hazina umuhimu, lakini kama huna ""selected for null"" mungu asimame nawe.
November je.....watu wa October tukae mkao wa kula sasa...
Kwa trend yao hawa jamaa wanatoa placements in sequence first in first out. Unless taasisi husika iwe na uharaka sana ndiyo mnaweza kuitwa kabla ya waliotangulia kufanya usaili kabla yenu.November je.....
Hapo sawa,kama ilivyokuwa wale wa SUA,mapema tu wameitwa.Kwa trend yao hawa jamaa wanatoa placements in sequence first in first out. Unless taasisi husika iwe na uharaka sana ndiyo mnaweza kuitwa kabla ya waliotangulia kufanya usaili kabla yenu.
So hopefully wa November ni mpaka za October ziishe. Au exception ni kama mojawaponya taasisi inawahitaji watu wake ASAP.
Mimi bado sana mkuu, na ile nafasi siipati.uhakika kaka andaa suti ushapita
Naam, za Oktoba zitaanza kuachiwawatu wa October tukae mkao wa kula sasa...
Kwanini unaikatia tamaa mapema hivi kaka.Mimi bado sana mkuu, na ile nafasi siipati.