Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Placement ya leo ndio ilitufungia mkando wa September, zingine kama zipo sizikumbuki, mnaokumbuka ebu tutajieni tuanze kuzibetia ni lini zitatiki. Then tugeukie placements za mikando ya OctoberLeo Kuna nyengine inakuja, tuseme Amina [emoji23][emoji23]