Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Upo kama mimi, sasa kama ya Muhas hainihusu na wala simjui mtu ila nasoma majina yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nimegundua kitu kuhusu hii status kwenye web lakini, ukiona inaanza selected for oral inteviw no. Then inakuja shortlisted plane, kisha ikarudi selected for oral umeula hapo as if alivyoelezea mkuu na ni mtu wa tatu huyu namsikia kwa style hiyo.
Nadhani mashahidi mpo humu jazieni nyama wenye kazi zenu. Sijajua usaili unaojumuisha practicals....
 
Kuhusu kuwakanda utumishi ila wako vizuri bila janjajanja bila rushwa nimepita huu uzi upae huu mawinguni Wizy na mwifa mungu awapambanie oral moja tu nimewakanda ila huu uzi nilianza kufuatilia muda sana nikaw najifunza jinsi ya kukanda na kukandwa ntawapa uzoefu ilivyokua
Hakika wote humu tutalamba asali ni swala la mda.

🤣🤣🤣 status hazina umuhimu, lakini kama huna ""selected for null"" mungu asimame nawe.
 
Hapa nimegundua kitu kuhusu hii status kwenye web lakini, ukiona inaanza selected for oral inteviw no. Then inakuja shortlisted plane, kisha ikarudi selected for oral umeula hapo as if alivyoelezea mkuu na ni mtu wa tatu huyu namsikia kwa style hiyo.
Nadhani mashahidi mpo humu jazieni nyama wenye kazi zenu. Sijajua usaili unaojumuisha practicals....
ivi baada ya kufanya oral status huwa inachukua muda gani kubadilika kutoka selected for oral kuwa shortlisted kwa zile saili zenye practical ?
 
Nadhani shida inakuja pale baadhi ya taasisi wanapofanya mchakato wa ajira wenyewe.
Kanuni zinamtaka Mwajiri kuwasilisha taarifa za aliyeripoti kazini ndani ya siku 30 tangu alipopangiwa kituo cha kazi. Naona uzembe ni PSRS kutofuatilia hili hatimaye wanajikuta wanaendelea kuita watu kazini hata kama washaitwa miezi kadhaa iliyopita
 
Hii situation ndo ilimtokea yule ndugu wangu wa NARCO niliileta humu kipindi flani.

Jina la mtu lilitokea kwenye pdf nafasi ya NARCO (alitokea database) pia likatokea TRA (Nahisi alifanya interview), hivyo huyo mtu akaenda TRA, utumishi wakamreplace huyo mtu na ndugu yangu (from database)

Sasa kilichotokea ni kwamba, ndugu yangu hakuona tena jina lake kwenye PDF wala hawakumpigia simu ila walituma barua moja kwa moja kwenye S.L.P la ndugu yetu mwingine wa mbali (Tunajaza hizi anuwani kukamilisha ratiba)

Barua ya April amekuja kuiona December (Too late)
Hilo suala alilitekeleza vipi, tulitoa ushauri hapa, hujatupa mrejesho
 
Back
Top Bottom