baraka mas
Senior Member
- Dec 3, 2022
- 139
- 471
Asante kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kaka
Yaani ikitoka placement haraka naipakua nakuanza kuangalia majina as if nawajua vile😂 nasema naweza ona jina la Maryjuan. Natamani wote tupate aiseeKweli aisee, japo watu wengi wakishapata mrija huwa wanatoweka.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Humu mi nishakua addicted sitokiKweli aisee, japo watu wengi wakishapata mrija huwa wanatoweka.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Nadhani shida inakuja pale baadhi ya taasisi wanapofanya mchakato wa ajira wenyewe.Sekretarieti ya Ajira ifike kipindi sasa muache kurudia kuita watu kazini kama mlishawaita kwenye post zingine zilizotangulia, hata kama ni haki yake kumuita mara kadhaa, haingii akilini umuite mtu ambaye tayari kashapokea mishahara ya miezi 2.
Kuna mtu namfahamu alishaitwa kwenye post ya TA pale Muhas kwenye placement ya tarehe 26 Oct, 2022. Kaitwa tena leo. Hii sio sawa mnamchelewesha yule atakayeenda kucover hiyo nafasi, otherwise mmvutie waya mapema iwezekanavyo
Hongera sana mkuu, huwa nafurahi sana kusikia hii mirejesho.hatimaeeeeeeeeee nimewakanda utumishiiiiiiiii yeeeeeeeeeees
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana physiotherapist mtorela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa natumai nawewe nitakuona ona kwenye jukwaa la mahusiano kule[emoji23]
Safi sana, sasa kablesiwe utelezi usiku wa leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nishavuta muda sana utelezi
View attachment 2469086
Mimi nilianza kuamini ANAUPIGA MWINGI kabla hata ya kupata placement. Hii niliandika June mwaka jana
Huko kuonana sasa[emoji3][emoji3][emoji3], watu washaanza kuishi kwa tahadhari humu, hilo litawezekana labda mmoja mmoja sio woteNatamani na nawaombea sote tupate kile tunachokipenda, tumekuwa pamoja sana katika shida na Raha, Natamani hata siku Moja tungeonana.
Hahahaaa, Ahsante kwa kukumbuka mkuumwifa alinipa sana matumaini
Nilikandwa writtenYe hakuomba?
Hongera sana mkuu. All the besthatimaeeeeeeeeee nimewakanda utumishiiiiiiiii yeeeeeeeeeees
Tatizo huku tunatumia majina bandiaYaani ikitoka placement haraka naipakua nakuanza kuangalia majina as if nawajua vile[emoji23] nasema naweza ona jina la Maryjuan. Natamani wote tupate aisee
Kunong'onezana, kujadili kwa siri[emoji3][emoji3]Mtete ndio nini tena mwifwa[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kabisa... uwezi ukasifu mvua kama emeezua paa la nyumba yako au imeleta mafuliko kwako.
Upo kama mimi, sasa kama ya Muhas hainihusu na wala simjui mtu ila nasoma majina yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ikitoka placement haraka naipakua nakuanza kuangalia majina as if nawajua vile[emoji23] nasema naweza ona jina la Maryjuan. Natamani wote tupate aisee
Yeah imani ni jambo kubwa sanaKatika maisha ili ufanikiwe kwanza anza kuwa na imani kuwa utafanikiwa tu. Kwani uwezo, nia pamoja sababu ya kufanikiwa vyote unavyo.
Kwa kusema ukweli Ahmet nimefatilia huu uzi wake tukiwa bado humu kweny huu uzi wa ajira wote tukitafuta ajira.
Hivyo tuwe na imani, juhudi pamoja na subira. Hakuna linaloshindikana muda wako ukifika.
Hii situation ndo ilimtokea yule ndugu wangu wa NARCO niliileta humu kipindi flani.Sekretarieti ya Ajira ifike kipindi sasa muache kurudia kuita watu kazini kama mlishawaita kwenye post zingine zilizotangulia, hata kama ni haki yake kumuita mara kadhaa, haingii akilini umuite mtu ambaye tayari kashapokea mishahara ya miezi 2.
Kuna mtu namfahamu alishaitwa kwenye post ya TA pale Muhas kwenye placement ya tarehe 26 Oct, 2022. Kaitwa tena leo. Hii sio sawa mnamchelewesha yule atakayeenda kucover hiyo nafasi, otherwise mmvutie waya mapema iwezekanavyo
Sema ipo siku nitakutafuta bro, you have won our heartsHuko kuoanana sasa[emoji3][emoji3][emoji3], watu washaanza kuishi kwa tahadhari humu, hilo litawezekana labda mmoja mmoja sio wote