Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sekretarieti ya Ajira ifike kipindi sasa muache kurudia kuita watu kazini kama mlishawaita kwenye post zingine zilizotangulia, hata kama ni haki yake kumuita mara kadhaa, haingii akilini umuite mtu ambaye tayari kashapokea mishahara ya miezi 2.

Kuna mtu namfahamu alishaitwa kwenye post ya TA pale Muhas kwenye placement ya tarehe 26 Oct, 2022. Kaitwa tena leo. Hii sio sawa mnamchelewesha yule atakayeenda kucover hiyo nafasi, otherwise mmvutie waya mapema iwezekanavyo
 
Nadhani shida inakuja pale baadhi ya taasisi wanapofanya mchakato wa ajira wenyewe.
 
View attachment 2469086
Mimi nilianza kuamini ANAUPIGA MWINGI kabla hata ya kupata placement. Hii niliandika June mwaka jana

Katika maisha ili ufanikiwe kwanza anza kuwa na imani kuwa utafanikiwa tu. Kwani uwezo, nia pamoja sababu ya kufanikiwa vyote unavyo.

Kwa kusema ukweli Ahmet nimefatilia huu uzi wake tukiwa bado humu kweny huu uzi wa ajira wote tukitafuta ajira.

Hivyo tuwe na imani, juhudi pamoja na subira. Hakuna linaloshindikana muda wako ukifika.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kabisa... uwezi ukasifu mvua kama emeezua paa la nyumba yako au imeleta mafuliko kwako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Katika maisha ili ufanikiwe kwanza anza kuwa na imani kuwa utafanikiwa tu. Kwani uwezo, nia pamoja sababu ya kufanikiwa vyote unavyo.

Kwa kusema ukweli Ahmet nimefatilia huu uzi wake tukiwa bado humu kweny huu uzi wa ajira wote tukitafuta ajira.

Hivyo tuwe na imani, juhudi pamoja na subira. Hakuna linaloshindikana muda wako ukifika.
Yeah imani ni jambo kubwa sana
 
Sekretarieti ya Ajira ifike kipindi sasa muache kurudia kuita watu kazini kama mlishawaita kwenye post zingine zilizotangulia, hata kama ni haki yake kumuita mara kadhaa, haingii akilini umuite mtu ambaye tayari kashapokea mishahara ya miezi 2.

Kuna mtu namfahamu alishaitwa kwenye post ya TA pale Muhas kwenye placement ya tarehe 26 Oct, 2022. Kaitwa tena leo. Hii sio sawa mnamchelewesha yule atakayeenda kucover hiyo nafasi, otherwise mmvutie waya mapema iwezekanavyo
Hii situation ndo ilimtokea yule ndugu wangu wa NARCO niliileta humu kipindi flani.

Jina la mtu lilitokea kwenye pdf nafasi ya NARCO (alitokea database) pia likatokea TRA (Nahisi alifanya interview), hivyo huyo mtu akaenda TRA, utumishi wakamreplace huyo mtu na ndugu yangu (from database)

Sasa kilichotokea ni kwamba, ndugu yangu hakuona tena jina lake kwenye PDF wala hawakumpigia simu ila walituma barua moja kwa moja kwenye S.L.P la ndugu yetu mwingine wa mbali (Tunajaza hizi anuwani kukamilisha ratiba)

Barua ya April amekuja kuiona December (Too late)
 
Back
Top Bottom