🤣🤣🤣Hahaha ila kazi zipo nyingi tu hata mie ningekua ninajua mwanzo Kuna mambo ya ku certify vyeti ningekua nishafanya interview Zaid ya nane maana kwenye account zangu Kuna not shortlisted za kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani bora uulize Wewe
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu.
Naenda kujaribu aisee, nikifika oral nitakuwa nimepiga hatua sana, naona wanaweza kuitwa watu chini ya 6.
Zilizopita kuna ipo ilihitaji watu 4, oral waliitwa watu 10, kwa mantiki hii ninatarajia hii wataitwa wachache zaidi
Nyie mmesoma course gani hizo ambazo kila tangazo la kazi mmo aisee ? ,
Duuh aiseh sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha ila kazi zipo nyingi tu hata mie ningekua ninajua mwanzo Kuna mambo ya ku certify vyeti ningekua nishafanya interview Zaid ya nane maana kwenye account zangu Kuna not shortlisted za kutosha
Ahsante sana mkuuKila la heri mkuu,. Ni natumai unaenda kushinda awamu hii.
Tuendelee kuombeana mkuu ili tuweze kuifikia mirija ya AsaliKila la kheri Mkuu, hii ni zamu yako, utafanikiwa.
Hii Tua inabidi tuiite PSRS The Royal Tour.Hahaha, hapana Mkuu, sema Jf tumekuwa ndugu japo hatujuani tunatakiana kheri hata kwa wanaoenda kwenye saili wengine tusizoenda.
Ila kwa kifupi ukisoma Business Administration kama una ndoto za kuajiriwa utajikuta kila usaili na wewe umo, jukumu lako linabaki kuandaa bajeti ya kufanya Royo tua ya kuhudhuria written na Oral.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie mmesoma course gani hizo ambazo kila tangazo la kazi mmo aisee ? ,
Kwa mtu aliyesoma BBA awamu hii ana uwanja mpana mnoo wa kuhudhuria sahili za utumishi, sehem kibao jamaa wame-fit.Hahaha, hapana Mkuu, sema Jf tumekuwa ndugu japo hatujuani tunatakiana kheri hata kwa wanaoenda kwenye saili wengine tusizoenda.
Ila kwa kifupi ukisoma Business Administration kama una ndoto za kuajiriwa utajikuta kila usaili na wewe umo, jukumu lako linabaki kuandaa bajeti ya kufanya Royo tua ya kuhudhuria written na Oral.
Ukiona wamechelewa kuita ujue kuna mtu kampitisha ndugu yake.
Kwa mtu aliyesoma BBA awamu hii ana uwanja mpana mnoo wa kuhudhuria sahili za utumishi, sehem kibao jamaa wame-fit.
Hii Tua inabidi tuiite PSRS The Royal Tour.
Maana kama unaenda kwa mara kwanza lazima utakuwa na shauku fulani hivi, ila baada ya kukandwa unabaki mpole na wa baridi kama barafu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuendelee kuombeana mkuu ili tuweze kuifikia mirija ya Asali
Hata wahasibu nao tumependelewa kiaina.Yani Mkuu, acha tu. Kama wa BBA nafasi zote hizi asipoambulia kuingia kwenye system hata kwa kazi ya kawaida basi atakuwa na msongo wa mawazo mkubwa sana.
Yani mtu ukimpa maswali ya written unasema ulifeli wapi mbona paper jepesi ila ukiingia unakandwa Hadi so poa unaambulia 25Hahaha, ni kweli kabisa. Ukiwa unaenda kwenye usaili wa mara ya kwanza unaweza kuwa na mtazamo kwamba wanaofeli ni vilaza, ila wakikukanda ndipo akili inakaa sawa.
Bado kuna interview za kesho kutwa udomUtumishi walivyopoa km hawapo ofisini,hamna tangazo la Kazi,hamna, placement,na Toka Waite watu kwa usaili kupo kimya sijui wanakandwa tyu raia wa usaili na interview zao za madonga
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Interview mwisho tarehe 27.Bado kuna interview za kesho kutwa udom