Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani bora uulize Wewe

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Hahaha ila kazi zipo nyingi tu hata mie ningekua ninajua mwanzo Kuna mambo ya ku certify vyeti ningekua nishafanya interview Zaid ya nane maana kwenye account zangu Kuna not shortlisted za kutosha
 
Nyie mmesoma course gani hizo ambazo kila tangazo la kazi mmo aisee ? ,

Hahaha, hapana Mkuu, sema Jf tumekuwa ndugu japo hatujuani tunatakiana kheri hata kwa wanaoenda kwenye saili wengine tusizoenda.

Ila kwa kifupi ukisoma Business Administration kama una ndoto za kuajiriwa utajikuta kila usaili na wewe umo, jukumu lako linabaki kuandaa bajeti ya kufanya Royo tua ya kuhudhuria written na Oral.
 
Hii Tua inabidi tuiite PSRS The Royal Tour.

Maana kama unaenda kwa mara kwanza lazima utakuwa na shauku fulani hivi, ila baada ya kukandwa unabaki mpole na wa baridi kama barafu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa mtu aliyesoma BBA awamu hii ana uwanja mpana mnoo wa kuhudhuria sahili za utumishi, sehem kibao jamaa wame-fit.
 
Yani Mkuu, acha tu. Kama wa BBA nafasi zote hizi asipoambulia kuingia kwenye system hata kwa kazi ya kawaida basi atakuwa na msongo wa mawazo mkubwa sana.
 
Hii Tua inabidi tuiite PSRS The Royal Tour.

Maana kama unaenda kwa mara kwanza lazima utakuwa na shauku fulani hivi, ila baada ya kukandwa unabaki mpole na wa baridi kama barafu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hahaha, ni kweli kabisa. Ukiwa unaenda kwenye usaili wa mara ya kwanza unaweza kuwa na mtazamo kwamba wanaofeli ni vilaza, ila wakikukanda ndipo akili inakaa sawa.
 
Yani mtu ukimpa maswali ya written unasema ulifeli wapi mbona paper jepesi ila ukiingia unakandwa Hadi so poa unaambulia 25

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom