Huku juu Kuna Mdau kasema yupo,,, aua hujaaona hyo comment..?Ndo hamna ss mtu aliefik oral alafu ana not selected for null...mlete ushahid
Duh sjaiona hiyo comment mkuuHuku juu Kuna Mdau kasema yupo,,, aua hujaaona hyo comment..?
Oya wizy vip placement uliyokuwa unaisubiria pale ORCI, tupe ushuhuda wa statusYa inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.
Na mpaka leo hakuna ushuhuda humu mtu mwenye ""not selected for null""" kalamba asali, isipo kua wote waliolamba asali wana ""selected for null"".
Navo hisi selected for null ni umepata passmark inayotakiwa oral, so unaweza faulu lakini umefaulu kwa kiwango gani. nafasi ipo moja, sawa wote mna passmark(selected for null) but wawo watamchukua mwenye passmark kubwa coz nafasi ni moja.
Wizy in the houseYa inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.
Na mpaka leo hakuna ushuhuda humu mtu mwenye ""not selected for null""" kalamba asali, isipo kua wote waliolamba asali wana ""selected for null"".
Navo hisi selected for null ni umepata passmark inayotakiwa oral, so unaweza faulu lakini umefaulu kwa kiwango gani. nafasi ipo moja, sawa wote mna passmark(selected for null) but wawo watamchukua mwenye passmark kubwa coz nafasi ni moja.
Uongo tupuNdo hamna ss mtu aliefik oral alafu ana not selected for null...mlete ushahid
mbali na mshikaji wangu kufanya oral kuwa na comment io ya ""not selected for null""Not Selected for Null ni Kwamba umefeli Written kwenda Oral...
Unachokisema hapa unatudanganya Mkuu
Anzaa na hii. Au may b tungemtafuta uyu mwamba atueleze alimanisha nini.Oral tulifanya watu tisa nafasi moja...kabla ilkua Shortlisted..Niliwacheck watu 3 ambao nlifanya nao wao baada ya kuchange kua SELECTED...wao waliekewa NOT SELECTED
Uongo tupu
Ngojaaa yakukute🤣🤣🤣🤣🤣🤣, hutaamini macho yako😥😥😥😥.Uongo tupu
Huyo mwanao alikudanganya.Hakwenda Oral...Alikuwa anakutania tu.Yeyote aliyeenda Oral lazima iandike Selected for Null kwenye App na Selected For Oral kwenye Web.mbali na mshikaji wangu kufanya oral kuwa na comment io ya ""not selected for null""
Na hawa walioandika humu kwenye uu uzi sitaki kuamini kwamba wote walikua wanadanganya au hawajielew.
Au may b mm nimewaelewa vibaya, ni better ungetafuta comment nilizo sema zipo humu kuliko kusema mm nakudanganya coz comment za humu ingekua rahisi ww kuzipata.
Mwambaa alinidanganya sawa. Na huyu je???Oral tulifanya watu tisa nafasi moja...kabla ilkua Shortlisted..Niliwacheck watu 3 ambao nlifanya nao wao baada ya kuchange kua SELECTED...wao waliekewa NOT SELECTED
Mbona haipo PDF yoyote zaidi ya Ile ya Jana ya MNH tu.Nenda huko web Kuna Pdf Lina MB 8 sijui la nini..
Tupieni macho huko usikute Taasisi zote wameunganisha humu for placements 🤓
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 WIZZY popote ulipo rudiiiii.Oya wizy vip placement uliyokuwa unaisubiria pale ORCI, tupe ushuhuda wa status
Ngoja aje atoe ushahidi mim siamini hilo
Kaka sijasema mm, mm sio wizy, nimaneno yake huyo mnho95, kwaio na ww katuletee ushaidi waliofail wrtten wanaandikiwa "" not selected for null""" sina uhakika sana ila naisi huwa inabaki shortlisted. Kama huna hoja tafadhali usi comment kwenye status issue tena. Tuna wachosha watu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Na usiamini.Ngoja aje atoe ushahidi mim siamini hilo
Mfano mimi, Nina selected for null ila watu walishaita yangu May mwaka jana.Wapo kaka, pia kupata selected for null, sio kwamba ndo 100% umepata kazi.
Na shihi coz sio wote selected for null wanapata kazi.Mfano mimi, Nina selected for null ila watu walishaita yangu May mwaka jana.
Ila angalia sana pdf lolote linaweza tokea mda wowote kama una selected for null.Mfano mimi, Nina selected for null ila watu walishaita yangu May mwaka jana.