Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ya inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.

Na mpaka leo hakuna ushuhuda humu mtu mwenye ""not selected for null""" kalamba asali, isipo kua wote waliolamba asali wana ""selected for null"".

Navo hisi selected for null ni umepata passmark inayotakiwa oral, so unaweza faulu lakini umefaulu kwa kiwango gani. nafasi ipo moja, sawa wote mna passmark(selected for null) but wawo watamchukua mwenye passmark kubwa coz nafasi ni moja.
Oya wizy vip placement uliyokuwa unaisubiria pale ORCI, tupe ushuhuda wa status
 
Ya inaweza kuwa ni fact, lakin pia sio dhambi kuamini unachotaka kuamini, coz kuna mwanangu apa as soon as oral kuisha kakutana na "" not selected for null"" na hivi vitu haviji bahati mbaya na sio huyu tu humu ndani nishapitia comment kazaa za watu wana "" not selected for null na wamepiga oral.

Na mpaka leo hakuna ushuhuda humu mtu mwenye ""not selected for null""" kalamba asali, isipo kua wote waliolamba asali wana ""selected for null"".

Navo hisi selected for null ni umepata passmark inayotakiwa oral, so unaweza faulu lakini umefaulu kwa kiwango gani. nafasi ipo moja, sawa wote mna passmark(selected for null) but wawo watamchukua mwenye passmark kubwa coz nafasi ni moja.
Wizy in the house
 
Not Selected for Null ni Kwamba umefeli Written kwenda Oral...
Unachokisema hapa unatudanganya Mkuu
mbali na mshikaji wangu kufanya oral kuwa na comment io ya ""not selected for null""
Na hawa walioandika humu kwenye uu uzi sitaki kuamini kwamba wote walikua wanadanganya au hawajielew.

Au may b mm nimewaelewa vibaya, ni better ungetafuta comment nilizo sema zipo humu kuliko kusema mm nakudanganya coz comment za humu ingekua rahisi ww kuzipata.
 
Huyo mwanao alikudanganya.Hakwenda Oral...Alikuwa anakutania tu.Yeyote aliyeenda Oral lazima iandike Selected for Null kwenye App na Selected For Oral kwenye Web.

Kama nitakuwa nimekosea nipo tayari kusahihishwa.
 
mho95 Hebu njoo toa Ushahidi wa akisemacho Wkingz kuhusu Status,je Lina ukweli wowote?
Kaka sijasema mm, mm sio wizy, nimaneno yake huyo mnho95, kwaio na ww katuletee ushaidi waliofail wrtten wanaandikiwa "" not selected for null""" sina uhakika sana ila naisi huwa inabaki shortlisted. Kama huna hoja tafadhali usi comment kwenye status issue tena. Tuna wachosha watu.
 
Back
Top Bottom