Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Umefanyia wapi huo utafiti?
 
Wenye practical na wakafika oral inaandika selected for oral na si selected for null,,, kwenye app. Mm naiona hivyo mliofanya practicals vp na kwenu???
Ki ukweli kaka kwa upande wa practicals sijui sana, coz comment za humu wenye shuhuda za status wengi sio wa practical.

Ila nahisi may b hawajaingiza detail zenu za oral kwenye system huwezi jua inaweza badilika matokeo yakikaribua na kua ""selected for null"" U unaweza lamba asali na io selected for oral status mda mwingine ngumu kuzielewa.
 
Mkuu unachokisema hiki una uhakika nacho???
Hawa sio watoto waje wadanganye watu wazima humu, kwa kifupi kaka sio hawa tu ukitaka kujua wapo wengi pitia comment za watu humu ndani, hakuna haja ya kutaka kumleta kila mtu humu alietoa io comment aku thibitishie, mda mwingine sio lazima wote tuelewe.
 
Sawa wizy umeeleweka.

Alafu mwamba unamchango mkubwa sana mimi kufika oral,ubarikiwe.

Status tukuachie uliamue hili mwenyewe
 
Mkuu unachokisema hiki una uhakika nacho???
Mimi pia nanae jamaa nilifanya nae oral ingawaje yeye alikuwa anapambania mrija Wa UDART aliandukiwaga not Shirtlisted kwe web mkeka umetoka chaliii sijahitaji kumulizaga tena sasa hivi inasomaje
 
Achaneni na status mtaumia subirini pdf ni kweli ukiandikiwa selected for null umepita ila inategemea na wanachukua wangapi Kama ni mpo Saba na wataka. 4 halaf wote mna selected for null wanaangalia mwenye ufaulu wa juu lakini wote mumepita kuhusu NOT SELECTED FOR NULL ukifanya oral. Ukafeli pia unaandikiwa not selected for null kwa RED INK
 
Ukifanya na practical inakua inabadilika muda mwingi selected for null na mara chache selected for practical interview mimi nimefanya na practical niko njian naenda chukua barua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…