Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa maoni yangu hili litafabikiwa kwa wale wanaakaofny wrrten za mcq za kuandika naona chngamoto
 
Sijaelewa kaka, apo kwenye written, nifafanulie.
 
Ahsante sana mkuu kwa mrejesho, ni ushindi kwetu sote huu tulipambana kutoa maoni na ushauri humu.

Sasa dogo akale maisha kwenye mrija na ninamtakia kila la kheri kwenye majukumu yake.

Natoa wito kwa wengine, tujitahidi kujaza address ya kuaminika na uliyokaribu nayo ili kuepuka jambo kama hili
 

Watu wa cuba wamenielewa.

Sauti inatosha kabisa hii
 

Kwenye address hapo watu wameshajifunza, saili hizi zinazofanyika kwa kanda watu wametupwa mbali sababu tu wametupia address za kule.

Kuna baadhi wapo hapa dar walikwenda kufanya usaili Mwanza na Mbeya kwa sababu hyo.
 
Kwa Internet ipi nchi hii? achilia mbali wahusika kufanyiwa hizo interview.

Nafikiria niandae PDF niwatumie kwenye email yao waliyoitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…