Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Kwa maoni yangu hili litafabikiwa kwa wale wanaakaofny wrrten za mcq za kuandika naona chngamoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maoni yangu hili litafabikiwa kwa wale wanaakaofny wrrten za mcq za kuandika naona chngamoto
Kuandika maelezoKwa maoni yangu hili litafabikiwa kwa wale wanaakaofny wrrten za mcq za kuandika naona chngamoto
Sijaelewa kaka, apo kwenye written, nifafanulie.
Maon kuhusu tuwe na written au tusiwe na written??? kama ntakua sijakosea swali lako.Sijaelewa kaka, apo kwenye written, nifafanulie.
Ahsante sana mkuu kwa mrejesho, ni ushindi kwetu sote huu tulipambana kutoa maoni na ushauri humu.Mkuu kuhusu ule mrejesho:
Mwajiri alimpokea ndugu yangu, kumbe ile nafasi hakuna mtu aliyeenda kuijaza. Wakamwabia aende PSPR
Kufika kule uongozi ukawasiliana wakakubali akajaze nafasi, leo anaenda kuripoti kituo cha kazi.
Kiukweli wamefanya fair sana, ila pia hii ni kutokana hakuna mtu aliyeripoti kwenye ile nafasi.
Duuh kweli mkuu?Kuna placement huko mkaangalie
Nazani ni kwamba ukifika passmark written juu ya 50 na hukuchaguliwa kwenda oral unakutana na "" not selected for oral""" mtu
alie piga paper akapata 75 na hakuchaguliwa oral huwezi mwandikia "" not selected for null"" with red.
Na ukifanya written na hukufanikiwa kufika 50 unakutana "" not selected for null""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ukifanya oral na hukufanikiwa kufikia passmark unakutana na """ not selected for null"""
NB
Uu ni mtazamo wangu so sio lazima iwe kweli ni kitu ambacho nakifanyia tafit so haija thibitishwa ipo hivo ila naisi ndo ivo.
Watu wa cuba wamenielewa.
Ila haidownlodiki😂😂Duuh kweli mkuu?
Hapa panaukweli ndani yake, kulingana na kila situation ya msailiwa aliopitia,,,, sauti kubwaWatu wa cuba wamenielewa.
Sauti inatosha kabisa hii
Ni za ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali na Chuo cha MipangoIla haidownlodiki[emoji23][emoji23]
Umefanikiwa kuipakuwaNi za ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali na Chuo cha Mipango
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daaah!!Ila haidownlodiki[emoji23][emoji23]
Ahsante sana mkuu kwa mrejesho, ni ushindi kwetu sote huu tulipambana kutoa maoni na ushauri humu.
Sasa dogo akale maisha kwenye mrija na ninamtakia kila la kheri kwenye majukumu yake.
Natoa wito kwa wengine, tujitahidi kujaza address ya kuaminika na uliyokaribu nayo ili kuepuka jambo kama hili
Kwa Internet ipi nchi hii? achilia mbali wahusika kufanyiwa hizo interview.
Nimeona ndugu, bila shaka wapo walioramba asali humuNi za ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali na Chuo cha Mipango
Ndio mkuuUmefanikiwa kuipakuwa