Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Embu tutoe maoni ya kuwa na written interview kweny mfumo imekaa sawa hii ??? Au tuwe tunaenda tunakutana na marafiki zetu tunasalimiana nao zen tunaingia dk 40 za jasho na Kasi

Tujadili hili suala tuache status kwa prsp

Wkingz maoni yako plz
Mwifwa maoni plz
abeche maoni plz
Kwa maoni yangu hili litafabikiwa kwa wale wanaakaofny wrrten za mcq za kuandika naona chngamoto
 
Embu tutoe maoni ya kuwa na written interview kweny mfumo imekaa sawa hii ??? Au tuwe tunaenda tunakutana na marafiki zetu tunasalimiana nao zen tunaingia dk 40 za jasho na Kasi

Tujadili hili suala tuache status kwa prsp

Wkingz maoni yako plz
Mwifwa maoni plz
abeche maoni plz
Sijaelewa kaka, apo kwenye written, nifafanulie.
 
Mkuu kuhusu ule mrejesho:

Mwajiri alimpokea ndugu yangu, kumbe ile nafasi hakuna mtu aliyeenda kuijaza. Wakamwabia aende PSPR

Kufika kule uongozi ukawasiliana wakakubali akajaze nafasi, leo anaenda kuripoti kituo cha kazi.

Kiukweli wamefanya fair sana, ila pia hii ni kutokana hakuna mtu aliyeripoti kwenye ile nafasi.
Ahsante sana mkuu kwa mrejesho, ni ushindi kwetu sote huu tulipambana kutoa maoni na ushauri humu.

Sasa dogo akale maisha kwenye mrija na ninamtakia kila la kheri kwenye majukumu yake.

Natoa wito kwa wengine, tujitahidi kujaza address ya kuaminika na uliyokaribu nayo ili kuepuka jambo kama hili
 
Nazani ni kwamba ukifika passmark written juu ya 50 na hukuchaguliwa kwenda oral unakutana na "" not selected for oral""" mtu
alie piga paper akapata 75 na hakuchaguliwa oral huwezi mwandikia "" not selected for null"" with red.

Na ukifanya written na hukufanikiwa kufika 50 unakutana "" not selected for null""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na ukifanya oral na hukufanikiwa kufikia passmark unakutana na """ not selected for null"""

NB
Uu ni mtazamo wangu so sio lazima iwe kweli ni kitu ambacho nakifanyia tafit so haija thibitishwa ipo hivo ila naisi ndo ivo.
Watu wa cuba wamenielewa.

Watu wa cuba wamenielewa.

Sauti inatosha kabisa hii
 
Ahsante sana mkuu kwa mrejesho, ni ushindi kwetu sote huu tulipambana kutoa maoni na ushauri humu.

Sasa dogo akale maisha kwenye mrija na ninamtakia kila la kheri kwenye majukumu yake.

Natoa wito kwa wengine, tujitahidi kujaza address ya kuaminika na uliyokaribu nayo ili kuepuka jambo kama hili

Kwenye address hapo watu wameshajifunza, saili hizi zinazofanyika kwa kanda watu wametupwa mbali sababu tu wametupia address za kule.

Kuna baadhi wapo hapa dar walikwenda kufanya usaili Mwanza na Mbeya kwa sababu hyo.
 
Embu tutoe maoni ya kuwa na written interview kweny mfumo imekaa sawa hii ??? Au tuwe tunaenda tunakutana na marafiki zetu tunasalimiana nao zen tunaingia dk 40 za jasho na Kasi

Tujadili hili suala tuache status kwa prsp

Wkingz maoni yako plz
Mwifwa maoni plz
abeche maoni plz
Kwa Internet ipi nchi hii? achilia mbali wahusika kufanyiwa hizo interview.

Nafikiria niandae PDF niwatumie kwenye email yao waliyoitoa
 
Back
Top Bottom