Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naona Sasa Placements za mwezi Wa kumi na Moja zitaanza kuja.
Maana hizo Hapo ni za 22/10/2022.January hii naona Placements zote za mwaka Jana zitaachiwa.Tuombe Mungu tu.
Wale vijana mlipata kazi mkawe na kazi njema pia,wale wengine tunaoendelea na mapambano ya Usaili tuendelee kupambana Huku tukimtanguliza Mungu.
 
Hiyo ni Jambo zuri Sana , kufanya interview online.
Sababu matokeo unayapata mapema, kama wakiamua wakandaji unayapata Tu baada ya ku submit .
Sema shida inakuja tanesco watawalaza majobless na viatu, .

Shida nyingine labda mtandao kuzingua ,
 
Tanesco sio shida sana hapa nawaza internet tu kwa ambao tupo vijijini ,swala la kufanyiana pepar na kingine paper ICT iwe inauliza mambo ya kada usika sio mara mambo ya magazijuto.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
 
Sio rahisi kihivyo kwamba wakuchek kweny system zao hata Copy ya NIDA haitakiwi. Bora uende ukiwa umekamilika kama huna vitambulisho Barua ya Mtendaji inakubalika.
Kweli APo inabidi ubebe barua ya mk,ikibidi mpaka na wa afisa kata Pia.
 
Tanesco sio shida sana hapa nawaza internet tu kwa ambao tupo vijijini ,swala la kufanyiana pepar na kingine paper ICT iwe inauliza mambo ya kada usika sio mara mambo ya magazijuto.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Wewe una laptop na charger iko njema , wakina ss laptop zetu ni kama pasi Tu,
Kuhusu mtandao , inabidi uwe unajua angalau mtandao fulan hausumbui Sana sehemu fualn
 
Huko kweny kufanya kweny Laptop Mwenyew Itakua labda badae sana mkuu ila kwa saa hivi ishu Itakua inafanyika kweny center zao labda kila mkoa kwahiyo kuhusu mtandao na umeme ni wao mkuu.
 
Hii imekaa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…