Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Asali hizo badp tupo october...Tu[emoji3][emoji3][emoji3]Wakili wa serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asali hizo badp tupo october...Tu[emoji3][emoji3][emoji3]Wakili wa serikali
Hv hawa ndo wnasheria waliofanya Usaili kupitia zile kazi za MDA & LGA mwezi October...?
Naona wengi wamekula shavu
Inamaana zimeongezwa....au ndio idadi ileile iliotoka?Ndio, lkn baadhi wametoka database, rejea tangazo.
Sasa kukandwa nn.. si yupo selected.. labda ingekuwa Not Selectedatakua ameshakandwa.
Intro ya tangazo mara nyingi huwa wanaikopi na kupaste wanaedit kidogo tu kama tarehe.Ndio, lkn baadhi wametoka database, rejea tangazo.
Hapo sasa.. jobless anaenda mpaka kwenye rangi...suluhisho ni Pdf tu..hizo zingine hazina maanaSasa kukandwa nn.. si yupo selected.. labda ingekuwa Not Selected
Hii concept yako iko sahihi mkuu, siku Zote nilikuwa najiulizaga.. mfano hiz pdf zilizotoka leo taasisi zote zinaonekana kama ziliitisha saili siku chache za nyuma na hatimaye kupata watu wao.. So lile neno database lipo tu huwa hawalitoi kama unavyosema wanaedit vitu vichache, Placements kutoka database zinajulikana tu hata taasisi zinazopelekewa unaweza ona kabisa hyo taasisi haikutangaza nafasi za kazi,, pia watu wanaopelekwa Halmashauri wengi huwa wanatokea databaseIntro ya tangazo mara nyingi huwa wanaikopi na kupaste wanaedit kidogo tu kama tarehe.
Nimejaribu kupick random majina ya walioitwa kazini na kwenda kuangalia kwenye tangazo la mkando, nimewakuta wote kwenye tangazo niliowapick random. Kwa mantiki hiyo wanaweza wasiwepo kabisa kutoka database.
Ambao huwa wanatoka database kihalali ni ambapo tangazo litasema hivyo bila kutaja tarehe ya oral.
Poleni sana mnaohangaika na status.Wakuu hii mijadala ya Status mnatufanya wadau tupe Tuna LogIn Kila mda kwenye portal [emoji2][emoji2][emoji2]
Tuikaushie bhana
Mkuu unaogopa kuona NOT SELECTED FOR NULL hahahaPoleni sana mnaohangaika na status.
Mimi nililog in juzi tarehe 1 wakati napakia valid licence certificate baada ya kuihuisha, nilipomaliza nikalog out, kipengele cha MY APPLICATION ilipo status sikuwa na muda nayo maana nimeapa sitaiangalia hadi pdf itoke
Mimi pia nilifanya huo usaili upande wa NPS ambayo ni Ofisi ya Mwendesha mashitaka wa serikali (DPP). Hizi mkeka wake bado. kwenye ule usaili kulikuwa na nafasi 82 za NPS na 110 za mawakili wa MDA & LGA.Intro ya tangazo mara nyingi huwa wanaikopi na kupaste wanaedit kidogo tu kama tarehe.
Nimejaribu kupick random majina ya walioitwa kazini na kwenda kuangalia kwenye tangazo la mkando, nimewakuta wote kwenye tangazo niliowapick random. Kwa mantiki hiyo wanaweza wasiwepo kabisa kutoka database.
Ambao huwa wanatoka database kihalali ni ambapo tangazo litasema hivyo bila kutaja tarehe ya oral.
Hongera mkuu hapo msubrie tu placement nafasi hizo ni nyingi mtaula woteMimi pia nilifanya huo usaili upande wa NPS ambayo ni Ofisi ya Mwendesha mashitaka wa serikali (DPP). Hizi mkeka wake bado. kwenye ule usaili kulikuwa na nafasi 82 za NPS na 110 za mawakili wa MDA & LGA.
Kwenye placements za leo, hizo taasisi mbili za ofisi ya Mwanasheria mkuu (AGC)na Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali (OSG)zimechukua watu kutoka kwenye baadhi ya tulilofanya usaili ila taasisi hizi mwanzoni hatukujua kuwa nazo zina uhitaji kwani hazikuwepo kwenye tangazo.
Kwa vile waliopata placements ni walewale waliosailiwa kwenye wanasheria wa MDA & LGA na NPS...basi ngoja tuendelee kusubiri huo mkeka wa hizo nafasi zilizobakia....maana jumla walihitaji wanasheria 192 na walioitwa leo ni 44 tu.
Kaka andaa suti....mrija on the way...ukifika oral kuna faida yake zinajitokezaga tu nafasi from no where jobless wanapachikwa tu Mungu atusaidie sote tuingie mrijani 2023....AmeenMimi pia nilifanya huo usaili upande wa NPS ambayo ni Ofisi ya Mwendesha mashitaka wa serikali (DPP). Hizi mkeka wake bado. kwenye ule usaili kulikuwa na nafasi 82 za NPS na 110 za mawakili wa MDA & LGA.
Kwenye placements za leo, hizo taasisi mbili za ofisi ya Mwanasheria mkuu (AGC)na Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali (OSG)zimechukua watu kutoka kwenye baadhi ya tulilofanya usaili ila taasisi hizi mwanzoni hatukujua kuwa nazo zina uhitaji kwani hazikuwepo kwenye tangazo.
Kwa vile waliopata placements ni walewale waliosailiwa kwenye wanasheria wa MDA & LGA na NPS...basi ngoja tuendelee kusubiri huo mkeka wa hizo nafasi zilizobakia....maana jumla walihitaji wanasheria 192 na walioitwa leo ni 44 tu.
Amiin 🤲Kaka andaa suti....mrija on the way...ukifika oral kuna faida yake zinajitokezaga tu nafasi from no where jobless wanapachikwa tu Mungu atusaidie sote tuingie mrijani 2023....Ameen
Maelezo yako yamejitosheleza,, hapa inaonesha nyote mliofanya Oral mpo katika wimbi kubwa la kulamba asali,, wengine mtatupwa huko LGA kwenye mahakama za Mwanzo..Mimi pia nilifanya huo usaili upande wa NPS ambayo ni Ofisi ya Mwendesha mashitaka wa serikali (DPP). Hizi mkeka wake bado. kwenye ule usaili kulikuwa na nafasi 82 za NPS na 110 za mawakili wa MDA & LGA.
Kwenye placements za leo, hizo taasisi mbili za ofisi ya Mwanasheria mkuu (AGC)na Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali (OSG)zimechukua watu kutoka kwenye baadhi ya tulilofanya usaili ila taasisi hizi mwanzoni hatukujua kuwa nazo zina uhitaji kwani hazikuwepo kwenye tangazo.
Kwa vile waliopata placements ni walewale waliosailiwa kwenye wanasheria wa MDA & LGA na NPS...basi ngoja tuendelee kusubiri huo mkeka wa hizo nafasi zilizobakia....maana jumla walihitaji wanasheria 192 na walioitwa leo ni 44 tu.
Hongera mkuu hapo msubrie tu placement nafasi hizo ni nyingi mtaula wote
Hao wote watakula shavu...wish na kada za kina sie zingekua na uhitaji japo nusu ya hawa tupate shavu dah kz zetu hizi nafsi za kutafuta na tochiHawa walifanya Written na hakuna aliyekafeli written.. nahisi kutokana na uhitaji wa watu walitumia ustaarabu wa kustandardize matokeo