Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Tumeni humu, wengine huwa tunazipenda placement kuziona tu[emoji3][emoji3][emoji58]Nimeona ndugu, bila shaka wapo walioramba asali humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeni humu, wengine huwa tunazipenda placement kuziona tu[emoji3][emoji3][emoji58]Nimeona ndugu, bila shaka wapo walioramba asali humu
Ooh sawa sawa, happy for herThanks on behalf, ila ni mdada
Hapana hapana, ata kazi za State Attorney siombag, sijui siku nmetolewa kanzidata itakuajeMaryjuan ulifanya mkando wa AG?
Na hii inatoka jioni ya leo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Mwifwa ukilamba asali usikimbie.Next Placement NAOT
Naona January itakuwa bandika BanduaaNext Placement NAOT
Yea ninafahamiana naoUna hakika hao watu ulikuwa nao kwenye Oral?
Number ya NIDA siunayo, wakucheki Tu kwenye system zaoUkiwa huna vitambulisho utumishi je barua ya serikali ya mtaa ya kumtambua mtu si inafaa inatumika
Sio rahisi kihivyo kwamba wakuchek kweny system zao hata Copy ya NIDA haitakiwi. Bora uende ukiwa umekamilika kama huna vitambulisho Barua ya Mtendaji inakubalika.Number ya NIDA siunayo, wakucheki Tu kwenye system zao
Hiyo ni Jambo zuri Sana , kufanya interview online.
Tanesco sio shida sana hapa nawaza internet tu kwa ambao tupo vijijini ,swala la kufanyiana pepar na kingine paper ICT iwe inauliza mambo ya kada usika sio mara mambo ya magazijuto.Hiyo ni Jambo zuri Sana , kufanya interview online.
Sababu matokeo unayapata mapema, kama wakiamua wakandaji unayapata Tu baada ya ku submit .
Sema shida inakuja tanesco watawalaza majobless na viatu, .
Shida nyingine labda mtandao kuzingua ,
Kweli APo inabidi ubebe barua ya mk,ikibidi mpaka na wa afisa kata Pia.Sio rahisi kihivyo kwamba wakuchek kweny system zao hata Copy ya NIDA haitakiwi. Bora uende ukiwa umekamilika kama huna vitambulisho Barua ya Mtendaji inakubalika.
Wewe una laptop na charger iko njema , wakina ss laptop zetu ni kama pasi Tu,Tanesco sio shida sana hapa nawaza internet tu kwa ambao tupo vijijini ,swala la kufanyiana pepar na kingine paper ICT iwe inauliza mambo ya kada usika sio mara mambo ya magazijuto.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Huko kweny kufanya kweny Laptop Mwenyew Itakua labda badae sana mkuu ila kwa saa hivi ishu Itakua inafanyika kweny center zao labda kila mkoa kwahiyo kuhusu mtandao na umeme ni wao mkuu.Wewe una laptop na charger iko njema , wakina ss laptop zetu ni kama pasi Tu,
Kuhusu mtandao , inabidi uwe unajua angalau mtandao fulan hausumbui Sana sehemu fualn
Hii imekaa vizuriHuko kweny kufanya kweny Laptop Mwenyew Itakua labda badae sana mkuu ila kwa saa hivi ishu Itakua inafanyika kweny center zao labda kila mkoa kwahiyo kuhusu mtandao na umeme ni wao mkuu.
Siuna jua ICT ni science subject so , wana kupima uwezo wako wa kufikiri ki science zaidiTanesco sio shida sana hapa nawaza internet tu kwa ambao tupo vijijini ,swala la kufanyiana pepar na kingine paper ICT iwe inauliza mambo ya kada usika sio mara mambo ya magazijuto.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app