Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Duh ! Maana Sisi wahandisi hizo sahili zenyewe za kuhesabu , yaani kweli kweli utakuta kazi nafasi 1 watu shortlisted zaidi ya mia tatu .
Bora WA biashara kidogo naona wanakuwa na mikeka mirefu mfano TRA Ila uhandisi nchi hii ni majanga
Hii nchi ya ovyo Sana ,wahandisi wamesahaulika kabisa .
 
Utumishi walivyopoa km hawapo ofisini,hamna tangazo la Kazi,hamna, placement,na Toka Waite watu kwa usaili kupo kimya sijui wanakandwa tyu raia wa usaili na interview zao za madonga

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapa watu tunakandwa kimya kimya halafu tunakosa wa kumlaumu ndio maana ukimya unaendelea kushamiri.

Huu mwezi wote naona PSRS wamepumua maana tuliwasema sana humu ingawa bado tunaendelea kusema kuhusu placements
 
😂😂😂😂Tuliwasema sana wameamua watukande sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…