Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Aya mambo unaweza ukapishana na gari la mshahara hivi hivi yaani kama uliangalia ule wa kwanza na ukakata tamaa unaweza ukakosa asali hivi hiviMkeka wa IRDP umeongezewa watu mkaangalie unaeza kuta jina lko huko
Amen mkuu.Kaka andaa suti....mrija on the way...ukifika oral kuna faida yake zinajitokezaga tu nafasi from no where jobless wanapachikwa tu Mungu atusaidie sote tuingie mrijani 2023....Ameen
LGA si Mahakama za Mwanzo...hao ni wanasheria wa halmashauri za wilaya.Maelezo yako yamejitosheleza,, hapa inaonesha nyote mliyofanya Oral mpo katika wimbi kubwa la kulamba hasli,, wengine mtatupwa huko LGA kwenye mahakama za Mwanzo..
Aaah me nijue wapi bhana na hili likozi langu, kwani huko local gvt hawapelekwi wanasharia kwenye mahakama za Mwanzo na wilaya..?LGA si Mahakama za Mwanzo...hao ni wanasheria wa halmashauri za wilaya.
Pdf la OSG mbona wameitoa kulikoni au kwangu tu?Aaah me nijue wapi bhana na hili likozi langu, kwani huko local gvt hawapelekwi wanasharia kwenye mahakama za Mwanzo na wilaya..?
Sio kwako tu, Wametoa Ila nadhani watairudisha..Pdf la OSG mbona wameitoa kulikoni au kwangu tu?
Pdf la OSG mbona wameitoa kulikoni au kwangu tu?
Wasije wakapindua meza wakaweka mtoto wa kigogo (jokes) [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sio kwako tu, Wametoa Ila nadhani watairudisha..
Ila kwa ambae kaona jina lake uhakika anao kabisa.. Subiri siku ipinduke zote wanaziupload..
Unajua zamani PSRS walikuwa wanatoa tangazo kuujuza umma kuwa placements zimetoka na kuwataka watembelee section ya placements ili wakajionee majina yao?Mkuu unaogopa kuona NOT SELECTED FOR NULL hahaha
PSRS hawana MBAMBAMBA, wale washapewa Authority au Power katika suala Zima la Ajira za Umma hvyo wakiamua mtu fulani wasikuweke kwenye mkeka Unadhani utashitaki wapi.. kwanza saili zenyewe unafanya hata mitihani hairudishwi na hyo Oral yenyewe unatoka ukijipa moyo tu hujui umepata wastani upi.Wasije wakapindua meza wakaweka mtoto wa kigogo (jokes) [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ila mkuu yote kwa yote hili neno "NOT SELECTED FOR..." Ukilikuta kwenye status yako baada ya kupiga Oral linakata Maini wallah😂😂😂Unajua zamani PSRS walikuwa wanatoa tangazo kuujuza umma kuwa placements zimetoka na kuwataka watembelee section ya placements ili wakajionee majina yao?
Baadae baada ya watu kuzizoea placements ndipo wakaacha kutoa tangazo.
Endapo kama status zingekuwa zinamajibu ya kupata kazi au kukosa pia PSRS wasingeacha kuujuza umma pia. Kwa kuwa hilo halipo, hawajawahi kulisema.
Sasa kama status hazina uthibitisho wa kutoa majibu ya kupata au kukosa kazi baada ya oral, nihangaike nayo ya nini?
Mwanasheria wa serikali anaweza kwenda kuiwakilisha serikali ktk ngazi ya Mahakama kuu ktk kesi za madai...Aaah me nijue wapi bhana na hili likozi langu, kwani huko local gvt hawapelekwi wanasharia kwenye mahakama za Mwanzo na wilaya..?
Ndio maana mimi nilichagua kutoangalia statusI
Ila mkuu yote kwa yote hili neno "NOT SELECTED FOR..." Ukilikuta kwenye status yako baada ya kupiga Oral linakata Maini wallah[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuseme tu ukweli
Hapa lazima wakukandeNdio maana mimi nilichagua kutoangalia status
Watakua wanasheria wa halmashauriMaelezo yako yamejitosheleza,, hapa inaonesha nyote mliofanya Oral mpo katika wimbi kubwa la kulamba asali,, wengine mtatupwa huko LGA kwenye mahakama za Mwanzo..
Mimi huyo nakoroga na vijiko vitano vya sukari kabisa[emoji23]Hapa lazima wakukandeView attachment 2471474
Kweli kabisa, naungana na wewe. Kuangalia status ni kujitakia stress[emoji3]Ndio maana mimi nilichagua kutoangalia status
Tuishi humu mkuuKweli kabisa, naungana na wewe. Kuangalia status ni kujitakia stress[emoji3]
Una deal tuu na PDF za placement, call for interview na kuwa makini na simu yako hasa kwa namba ngeni