Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nipe muongozo wataalamu wa ajira portal

Vyeti vya upload ni lazima viwe na muhuri wa mwanasheria au mahakama au la!?

Na pale verification certificate ndi Nini !?

Naomba muongozo mzee Mimi[emoji1]
 
Sasa unasemaje tuachane nayo kuwa hayana maana wakati mwenyewe umerealize kuwa Ikiwa hvyo inakuwa namna gani
 
Ila watu wanafurahisha sana.. Justi imagine wanaogopa kuangalia status he siku pdf likitoka na Kuna taasisi yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora uangalie ujue umekandwa kuliko usiangalie halafu utegemee pdf ikitoka utakuwepo ukakosa hayo maumivu yake sio poa ila kiukweli not selected for null ni ngumu kupata sijawah kusikia
 
Umetumia experience yko ya kupat kz mkuu au uliulizia kule kwa wakandaji?
Na wale nilifanya nao usahili wawili niliwauliza wakasema wana not selected for null pdf kutoka chali wengine sijafanikiwa kuwasiliana ila kila anayepata ushuhuda wa status ni huo nilotoa
 
Bora uangalie ujue umekandwa kuliko usiangalie halafu utegemee pdf ikitoka utakuwepo ukakosa hayo maumivu yake sio poa ila kiukweli not selected for null ni ngumu kupata sijawah kusikia
Jamaa mbona umeshadadia haya mastatus.. lengo lako ututoe vijana mchezoni nn.. we mwenzetu uko na barua tayar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…