Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nipe muongozo wataalamu wa ajira portal

Vyeti vya upload ni lazima viwe na muhuri wa mwanasheria au mahakama au la!?

Na pale verification certificate ndi Nini !?

Naomba muongozo mzee Mimi[emoji1]
 
Achananeni na masuala ya status lakini Kwenye app kam umefanya not selected for null we ni baba jeni bye bye[emoji85][emoji85] bora uangalie ujue nishakandwa au nimekanda ukiwa na selected for null Kwenye app unakua na matumaini ya kupata asilimia 70
Not selected for null huna hata asilimia gani 0000
Sasa unasemaje tuachane nayo kuwa hayana maana wakati mwenyewe umerealize kuwa Ikiwa hvyo inakuwa namna gani
 
Ila watu wanafurahisha sana.. Justi imagine wanaogopa kuangalia status he siku pdf likitoka na Kuna taasisi yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora uangalie ujue umekandwa kuliko usiangalie halafu utegemee pdf ikitoka utakuwepo ukakosa hayo maumivu yake sio poa ila kiukweli not selected for null ni ngumu kupata sijawah kusikia
 
Umetumia experience yko ya kupat kz mkuu au uliulizia kule kwa wakandaji?
Na wale nilifanya nao usahili wawili niliwauliza wakasema wana not selected for null pdf kutoka chali wengine sijafanikiwa kuwasiliana ila kila anayepata ushuhuda wa status ni huo nilotoa
 
Bora uangalie ujue umekandwa kuliko usiangalie halafu utegemee pdf ikitoka utakuwepo ukakosa hayo maumivu yake sio poa ila kiukweli not selected for null ni ngumu kupata sijawah kusikia
Jamaa mbona umeshadadia haya mastatus.. lengo lako ututoe vijana mchezoni nn.. we mwenzetu uko na barua tayar
 
Back
Top Bottom