Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Huo mkeka upo sehemu gani??Wale wa MDA kuna mkeka wenu huko wa mkando
Weka pdf hapa kama kweli.. uongo tuWale wa MDA kuna mkeka wenu huko wa mkando
Kweli sema wameanza kuweka kanda ya mwanzaWeka pdf hapa kama kweli.. uongo tu
Mimi natabiri on call for interview kama ifuatavyo..Usaili TRA ulikuaje kwa mlioenda tupeni mrejesho, tuanze kujipanga na received zinazofuata, maana yajayo yanafurahisha.....Wadau wa kutabiri placement na call for interview inayofuata ni ipi???
We unaonaga kila mtu muongo sioWeka pdf hapa kama kweli.. uongo tu
Skia.. me nimeingia web ya utumishi sijaona pdf zaidi Lile la Udom.. kwanza Huyo anayesema wameweka Kanda ya mwanza gani.. me najua pdf zinapatakana kwenye web ya psrsWe unaonaga kila mtu muongo sio
Basi kama unalo Hilo pdf weka hapaWe unaonaga kila mtu muongo sio
aonekana una msongo wa mawazoSkia.. me nimeingia web ya utumishi sijaona pdf zaidi Lile la Udom.. kwanza Huyo anayesema wameweka Kanda ya mwanza gani.. me najua pdf zinapatakana kwenye web ya psrs
Hivi mtu mfano ukiwa kanzi data baada ya kufaulu oral interview , unaweza kupata placement katika taasisi ya serikali bila kupigiwa simu ? Au ni mara zote watakupigia simu ?Mkeka wa IRDP umeongezewa watu mkaangalie unaeza kuta jina lko huko
Sasa si nimekwambia uweke hapa hyo pdf, tunabishana kitu gani Sasa.. mbona unakuwa kama Hujavunja ungo vileWe mzee upate t kazi in
aonekana una msongo wa mawazo
Asnte mkuu kwa matusi yako ubarikiweSasa si nimekwambia uweke hapa hyo pdf, tunabishana kitu gani Sasa.. mbona unakuwa kama Hujavunja ungo vile
Nawe ubarikiwe kwa uongo husio na tija Wala mantiki yoyoteAsnte mkuu kwa matusi yako ubarikiwe
Wewe una mattzo kila mtu unamtukana unafikiri kila mtu amelelewa kama wewe kutukana watu huezi fanikiwa kwa matusi na kubomoa heshima za watuNawe ubarikiwe kwa uongo husio na tija Wala mantiki yoyote
Usiseme uongo chief. Pdf imewekwa then ikatolewa. Kama ni mzoefu wa utumishi sio kitu kipya kufanyika. Relax hope Kuna marekebisho yanafanyika jiandaeni kwa Pepa JAN 14&15Sasa si nimekwambia uweke hapa hyo pdf, tunabishana kitu gani Sasa.. mbona unakuwa kama Hujavunja ungo vile
Sure kbs, me ninayo pdf, ila imetolewa saivi kwenye web yaoUsiseme uongo chief. Pdf imewekwa then ikatolewa. Kama ni mzoefu wa utumishi sio kitu kipya kufanyika. Relax hope Kuna marekebisho yanafanyika jiandaeni kwa Pepa JAN 14&15
Skia nikwambie, sio kubomoa heshima za watu.. mtu anayekuja kudanganya mbele za watu tena waliokomaa ugoko huyo moja kwa moja ni mpumbavu.. Web ya Ajira ipo ON na watu tunabrowse hyo pdf hatujaiona.. Na kama waliweka wakatoa maana wanafanyaga hv si ungesema hvyo na naamini kama kweli ilikuwepo mpaka ukaja Kusema humu basi ulidownload.Wewe una mattzo kila mtu unamtukana unafikiri kila mtu amelelewa kama wewe kutukana watu huezi fanikiwa kwa matusi na kubomoa heshima za watu
Sisi wa mkoa wa Dar es salaam nadhani tusubirie.Bila shaka Wale wa MDA's & LGA's kada zote mumeitwa awamu hii changamkieni fursa
Ingekuwa kijijiSisi wa mkoa wa Dar es salaam nadhani tusubirie.
Just imagine hiyo nyomi yote ingeitwa kwa dodoma..
Gesti zingejaa balaa..Ingekuwa kijiji