Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Usaili TRA ulikuaje kwa mlioenda tupeni mrejesho, tuanze kujipanga na received zinazofuata, maana yajayo yanafurahisha.....Wadau wa kutabiri placement na call for interview inayofuata ni ipi???
Mimi natabiri on call for interview kama ifuatavyo..
• Mda & lga ni baadhi ya kada lakini
sio zote
• Udsm-(Non-teaching)
• TPDC..

Kwa upande wa placements ni HESLB & NOAT Ziko njiani
 
Wewe una mattzo kila mtu unamtukana unafikiri kila mtu amelelewa kama wewe kutukana watu huezi fanikiwa kwa matusi na kubomoa heshima za watu
Skia nikwambie, sio kubomoa heshima za watu.. mtu anayekuja kudanganya mbele za watu tena waliokomaa ugoko huyo moja kwa moja ni mpumbavu.. Web ya Ajira ipo ON na watu tunabrowse hyo pdf hatujaiona.. Na kama waliweka wakatoa maana wanafanyaga hv si ungesema hvyo na naamini kama kweli ilikuwepo mpaka ukaja Kusema humu basi ulidownload.
Ni kitu Cha kupakia tu hapa nasi tuione.. Sasa unataka maneeeeeeeeeeeeno ya nn ndugu. Sasa kwa scenario kama hyo nikisema haipo na sijaona Kuna jinai hapo .?
Tena Wala usitafute simpathy hapa kutoka kwa watu.. hapa tunalimalizana si wenyewe
 
Bila shaka Wale wa MDA's & LGA's kada zote mumeitwa awamu hii changamkieni fursa
 
Back
Top Bottom