Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

@mwifa msaada najua unaujua nmesahau title yake
 
Huu mfumo wa kufanya usaili kwa kanda mbalimbali naona utasaidia sana Jobless maana wengi washindwa kufika Dodoma au Dsm kwa sababu ya nauli hasa kwenye kada zinazohitaji watu wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…