Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yes uko sahihi kabisa inategemea na mkaguzi duh kwahyo bora kua navyo vyote[emoji848][emoji848]
 
wakuu kuna aliyewahi kufanya sahili nje na kanda ambayo umepangiwa,mfano nimepangiwa mwanza jpokuwa mishe zangu ziko domu . personal details kwenye account ya portal nimeandika za domu ni mwezi sasa umepita,ila cha kushangaza bdo jina lime apia mwanza ?
 
GUYS MSAADA
Kuna bi dada ameitwa kwenye usaili MWANZA
Amesomea bee-keeping ngazi ya Diploma .
Alituma maombi kwa post ya BEEKEEPING ASSISTANT OFFICER .
ANAULIZA kama kuna mtu anayafahau maswali kwenye interview amsaidie apate mwanga kidgo
Wanaaza written wanamalizia Oral

Shushen maswali hapa
 
Taarifa zinazotumika ni zile zilizokua "captered" katika tarehe ya kufunga tangazo la kazi husika.

Taarifa ulizabadilisha, zitatumika kwa sahili zijazo, sio za sahili ulizotumia kabla ya kufanya mabadiliko.

Jina litatoka huko mwanza tu, tena katika venue husika tu.

Pole sana mkuu.
 
Asome materials yote ya bee keeping, asome na kuelewa.
 
Thanks luteni,mchawi nauli.
 
Mm pia ndo nnavojua,yangu haijaspecify wapi na wapi,iko general. Labda wamebadlisha hivi karbun
Unaweza pia kuiandaa in general kuwa unaziomba concerned government Authorities without naming them waku treat as the same person mwenye majina tofauti.

Lakini pia unaweza kuandaa moja special kwa ajili ya PSRS tu...unakuwa unaenda nayo kila usaili..

Maana wale jamaa hawana muda wa kusoma contents za kiapo....

Hao wanaokataa affidavit na kutaka deedpoll nadhani si wataalamu wa sheria....wanatumia utashi wao tu, ila affidavit ni document sahihi pia inayotambulika kisheria..

sema tu ubaya wa affidavit mara nyingi itabidi uandae kila taasisi unayoenda waki notice mkanganyiko wa majina.
 
Habari wakuu, nilituma maombi kwenye zile kazi za MDA & LGAs lakini Shortlist ya Interviews imetoka jina langu sijaliona.

Mara zote nimekuwa nikiomba na mara zote nimekuwa nikiitwa lakini kwa mara ya kwanza sijaitwa na sielewi tatizo ni nini.

Nikiingia kwenye Account tangu status ni RECEIVED tu, hakuna maelezo why sikuwa shortlisted.

Naombeni msaada wa namna ya kuwasiliana nao ili nipate ufafanuzi why sikuitwa. Kipindi cha nyuma nilishawahi kuwatafuta kwa shida nyingine kupitia namba zao bila mafanikio.
 
Ingia angalia majina ya Kanda zote kwanza.Ujiridhishe kabisa ndio mengine yaendelee.
 
Wakuu naomba kuuliza kuhusu majina.

Mimi mfano naitwa (Ally Seleman Said kinyogoli)

Lakin shuleni nikatumia jina hivi
( Ally S. Said ).
Nikawa nimeliacha jina la mwisho la ukoo hilo la kinyogoli.

Hivyo kwenye vyeti vyangu vyote vikawa na jina hilo la ALLY S. SAID na hakuna jina la kinyogoli.

Pasipobahati kwenye kitambulisho cha taifa na leseni yangu ya udereva vikawa na jina la ALLY SELEMANI KINYOGOLI.

Maana yake hapo jina la SAID halipo. Na hata ukitazama kwenye ile web ya AJIRA nao wanakusajili kwa jina liloko kwenye kitambulisho cha taifa kupitia nambari zako na kwenye kitambulisho, jina la SAID halipo, je kutakuwa na changamoto yoyote hapo

Maana vyeti vyote havina jina la Kinyogoli. Alafu vitambulisho havina jina la Said.

Msaada tafadhali. Asanteni.

NB. Cheti changu tu cha kuzaliwa ndio kina majina yote manne yani ( ALLY SELEMANI SAID KINYOGOLI.)

NA Wakati pia najisajili katika kupata NIDA Yangu niliandika majina manne lakin wakalichukua la mwisho kabisa.
 
Kuna kada still bado hawajaita, na je umeangalia kada uliyoapply jina lako hamna?
Umeangalia zones zote haupo?
Majina ni mengi sana, kama bado imeandikwa received subir wataaupdate baadae na kukuwekea sababu ya kutoitwa, au kama upo Dar ama Dodoma nenda kabisa kwenye office zao ama wapigie simu, no zao za simu zipo kwenye website
 
Ahsante kwa muongozo, sikujua hiyo tofauti, sasa nimejua. Najivunia uwepo wako humu napata mawili matatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…