Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Samahani naomba kujua tofauti yakeKuna wakaguzi hawataki affidavit wanataka deed poll kabisa, so being at the safe side atafute deed poll kama akishindwa basi ajaribu kwenda na affidavit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani naomba kujua tofauti yakeKuna wakaguzi hawataki affidavit wanataka deed poll kabisa, so being at the safe side atafute deed poll kama akishindwa basi ajaribu kwenda na affidavit
Nmeelezea angalia texts za juuSamahani naomba kujua tofauti yake
Yes uko sahihi kabisa inategemea na mkaguzi duh kwahyo bora kua navyo vyote[emoji848][emoji848]Wanakubali inategemea, mimi kwa experience yangu, siku ya kwanza naenda kufanya interview pale DUCE nlikuwa na rafiki angu, yeye majina kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho yalikuwa tofauti, na affidavit to address that alikuwa nayo, but yule baba aligoma kabisa, alimwambia akaandae deed poll, but the other day tumeenda Dodoma, the other friend of mine alikuwa na affidavit akakubaliwa. Hapa ninachoona inategemea na wakaguzi, maana hiyo hiyo siku kuna rafiki angu mwingine hakuwa na vyeti original alisahau vyeti Dar, tukatoa copy soft copies alizokuwa nazo na kucertify yaani ilikuwa kama tunabet na maajabu akakubaliwa. Ambapo wengi wao wasingekubali ata kidogo, scenario nyingine hizi interview za NAOT na MDA, kuna rafik angu kafanya usaili akitumia kitambulisho cha uwakili, akuzinguliwa popote, kwa hiyo na NAOT akarelax hakutafuta barua, ila NAOT alikataliwa katakata na vilio juu ila waligoma.
Kwa hiyo haya maswala naona yanategemea na huruma za wasimamizi.
Kwenye interview moja tuYako umeitumia wapi na wapi ?
Waajiri walikuwa nani ?Kwenye interview moja tu
Naona NAOT ndio wasumbufu zaidiYes uko sahihi kabisa inategemea na mkaguzi duh kwahyo bora kua navyo vyote[emoji848][emoji848]
Taarifa zinazotumika ni zile zilizokua "captered" katika tarehe ya kufunga tangazo la kazi husika.wakuu kuna aliyewahi kufanya sahili nje na kanda ambayo umepangiwa,mfano nimepangiwa mwanza jpokuwa mishe zangu ziko domu . personal details kwenye account ya portal nimeandika za domu ni mwezi sasa umepita,ila cha kushangaza bdo jina lime apia mwanza ?
Asome materials yote ya bee keeping, asome na kuelewa.GUYS MSAADA
Kuna bi dada ameitwa kwenye usaili MWANZA
Amesomea bee-keeping ngazi ya Diploma .
Alituma maombi kwa post ya BEEKEEPING ASSISTANT OFFICER .
ANAULIZA kama kuna mtu anayafahau maswali kwenye interview amsaidie apate mwanga kidgo
Wanaaza written wanamalizia Oral
Shushen maswali hapa
Thanks luteni,mchawi nauli.Taarifa zinazotumika ni zile zilizokua "captered" katika tarehe ya kufunga tangazo la kazi husika.
Taarifa ulizabadilisha, zitatumika kwa sahili zijazo, sio za sahili ulizotumia kabla ya kufanya mabadiliko.
Jina litatoka huko mwanza tu, tena katika venue husika tu.
Pole sana mkuu.
asante kwa jibu zuri,ila nafasi ikipatikana lazima iwe kwenye hiyo taasisi au utapangiwa taasisi yoyote?.Unawekwa ndio maana bado na wenyewe wapo under PSRS .
Unaweza pia kuiandaa in general kuwa unaziomba concerned government Authorities without naming them waku treat as the same person mwenye majina tofauti.Mm pia ndo nnavojua,yangu haijaspecify wapi na wapi,iko general. Labda wamebadlisha hivi karbun
Mwaka 2022 naona unaenda Isha hivyo saili zilizobakia ni chache sana...Bora PSRS wametoa hii mikeka, Sasa watu wako bize na Mikando tumepumzika mambo ya "STATUS"
Ingia angalia majina ya Kanda zote kwanza.Ujiridhishe kabisa ndio mengine yaendelee.Habari wakuu, nilituma maombi kwenye zile kazi za MDA & LGAs lakini Shortlist ya Interviews imetoka jina langu sijaliona.
Mara zote nimekuwa nikiomba na mara zote nimekuwa nikiitwa lakini kwa mara ya kwanza sijaitwa na sielewi tatizo ni nini.
Nikiingia kwenye Account tangu status ni RECEIVED tu, hakuna maelezo why sikuwa shortlisted.
Naombeni msaada wa namna ya kuwasiliana nao ili nipate ufafanuzi why sikuitwa. Kipindi cha nyuma nilishawahi kuwatafuta kwa shida nyingine kupitia namba zao bila mafanikio.
Kuna kada still bado hawajaita, na je umeangalia kada uliyoapply jina lako hamna?Habari wakuu, nilituma maombi kwenye zile kazi za MDA & LGAs lakini Shortlist ya Interviews imetoka jina langu sijaliona.
Mara zote nimekuwa nikiomba na mara zote nimekuwa nikiitwa lakini kwa mara ya kwanza sijaitwa na sielewi tatizo ni nini.
Nikiingia kwenye Account tangu status ni RECEIVED tu, hakuna maelezo why sikuwa shortlisted.
Naombeni msaada wa namna ya kuwasiliana nao ili nipate ufafanuzi why sikuitwa. Kipindi cha nyuma nilishawahi kuwatafuta kwa shida nyingine kupitia namba zao bila mafanikio.
Ahsante kwa muongozo, sikujua hiyo tofauti, sasa nimejua. Najivunia uwepo wako humu napata mawili matatuYes ni tofauti, affidavit kiufupi unaapa kuwa majina yote plus yaliyokosewa kuwa ni ya kwako, yaan unawapa taarifa PSRS kuwa wakutambue kwa majina yote hayo, ila Deed Poll inakubadilisha majina yako permanent, yaan mfano from today ntatambulika kama Yesamrich so Maryjuan sitatumia tena. Kwenye deed poll unachagua jina moja tu na utaenda kuisajili Wizara ya Ardhi ambapo inatumia almost siku tatu au nne za kazi inakuwa ishatoka. Kumbuka hii aiffect documents ambazo ulishatumia majina tofauti na ulilosajili, hilo ulilosajili linaanza tumika from that date deed poll imetoka. Halafu affidavit isn't that official, sijui kama ntaeleweka hapa, yaan affidavit mfano ukienda bank lazima utengeneze affidavit, sijui PSRS lazima uwe na inayohusu PSRS, sijui umeenda office fulan lazima uwe na affidavit inayohusu hiyo office, ila Deed Poll ni hiyo hiyo na itakutambulisha kila sehemu, yaani hamna sehemu watakuzingua kuhusu majina kama una deedpoll iliyosajiliwa.
Kuandaa deed poll, nenda kwa wakili akuandalie ukiwa ushachagua jina unalotaka, na majina yote ambayo ulishawah tumia kwenye documents uko nayo, deed poll itagongwa muhuri halafu utaenda isajili wizara ya Ardhi office zilizo karibu nawe ama unaweza muachia kazi hiyo Wakili akamaliza kitu.
NB: Kama kuna sehemu nmejimislead maPGO wenzangu watanilead[emoji23][emoji23].
Nawasilisha.