Angalia vizuri kwenye kila Kanda.Kama unaweza tumia PC kuangalia au mshirikishe mtu afungue PDF na U search Jina lako kwa utulivu.Majina ni mengi sana kila Kanda.Kwa aliyetatua hili tatizo? Namba ya juu hiyo inaisha na 03, sijaonekana kwenye list ya kanda zote za pepa na ndiyo ina matumaini kibao.
Hiyo ya chini ipo poa.
Sekretarieti ya Ajira naomba msaada niongezwe kwenye mkeka wa kanda yangu.
View attachment 2475377
Upo mkoa gani mkuu.Kwa aliyetatua hili tatizo? Namba ya juu hiyo inaisha na 03, sijaonekana kwenye list ya kanda zote za pepa na ndiyo ina matumaini kibao.
Hiyo ya chini ipo poa.
Sekretarieti ya Ajira naomba msaada niongezwe kwenye mkeka wa kanda yangu.
View attachment 2475377
Nipo Kanda ya ziwa huku, na address yangu niliweka ya kanda hiyo, yenye nafasi 100+ simo kwenye list, hiyo ya 3, ndiyo nimo.Upo mkoa gani mkuu.
Issue yako ni ndogo sana kama utafanikiwa kufika katika ofisi zao za Dar au Dom.
Lakini pia hata kwa simu issue yako watarekebisha, ni mistake tu hujapangwa kwenye zone yyte, na bahati namba unayo.
yenye nafasi 100+ simo kwenye list, hiyo ya 3, ndiyo nimo.
Wapigie, usipofanikiwa kuwapigia siku ya usaili ongea na msimamizi mkuu, omba kuongea nae na muoneshe hizo no plus tatizo lako kiujumla.Nipo Kanda ya ziwa huku, na address yangu niliweka ya kanda hiyo, yenye nafasi 100+ simo kwenye list, hiyo ya 3, ndiyo nimo.
Sasa ndiyo nini hiki, mood ishakata.
Wapigie, usipofanikiwa kuwapigia siku ya usaili ongea na msimamizi mkuu, omba kuongea nae na muoneshe hizo no plus tatizo lako kiujumla.
NAOT na wenyewe wamejiwekaLeo no Placements wadau???
Aisee nimeona pale New PDF ina majina ya kutosha asee.Wale vijana waliofanya saili tarehe hizo wakachungulie...Jumatatu ya PDF...NAOT na wenyewe wamejiweka
SUA walishatoa mbona.Hapo ukiondoa SUA zinabaki taasisi hizo nyingine tu.Ndio Bado Placements zao hazijatoka kama sikosei.Naona wanasharia wengi wamekula Shavu huko NPS..
Now tunasubiria mikeka ya November & December.
Kuna hizi Taasisi.
HESLB, MDA's &LGA's, SUA, OUT, TARI, ASA, WIZARA YA KILIMO(TUTORS).
Bila shaka hizi zote huu mwezi hauishi.
SUA achana na zile Teaching mkuu, Kuna staff members tu walifanya mwezi wa 11 mwshoni.. Wale ma Field Technician/Assistant AcademicianSUA walishatoa mbona.Hapo ukiondoa SUA zinabaki taasisi hizo nyingine tu.Ndio Bado Placements zao hazijatoka kama sikosei.
Hongera sana.. umepita NAOT au NPS..?Asante Mungu, nimetoboa.
Mungu mkubwa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Mungu mkubwa.
Naona PSRS km wakandaji wametafuta mkandwaji wakampata[emoji3][emoji3][emoji3] ftom jobless mpk job to psrs, daah Mungu atusaidie sote siku 1 tuamke tukute majina yetu kwenye placement...AmeenNaona wanasharia wengi wamekula Shavu huko NPS..
Now tunasubiria mikeka ya November & December.
Kuna hizi Taasisi.
HESLB, MDA's &LGA's, SUA, OUT, TARI, ASA, WIZARA YA KILIMO(TUTORS).
Bila shaka hizi zote huu mwezi hauishi.
NAOTHongera sana.. umepita NAOT au NPS..?