Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa aliyetatua hili tatizo? Namba ya juu hiyo inaisha na 03, sijaonekana kwenye list ya kanda zote za pepa na ndiyo ina matumaini kibao.

Hiyo ya chini ipo poa.

Sekretarieti ya Ajira naomba msaada niongezwe kwenye mkeka wa kanda yangu.
20230109_192344.jpg
 
View attachment 2475377
Angalia vizuri kwenye kila Kanda.Kama unaweza tumia PC kuangalia au mshirikishe mtu afungue PDF na U search Jina lako kwa utulivu.Majina ni mengi sana kila Kanda.
 
Kwa aliyetatua hili tatizo? Namba ya juu hiyo inaisha na 03, sijaonekana kwenye list ya kanda zote za pepa na ndiyo ina matumaini kibao.

Hiyo ya chini ipo poa.

Sekretarieti ya Ajira naomba msaada niongezwe kwenye mkeka wa kanda yangu.
View attachment 2475377
Upo mkoa gani mkuu.

Issue yako ni ndogo sana kama utafanikiwa kufika katika ofisi zao za Dar au Dom.

Lakini pia hata kwa simu issue yako watarekebisha, ni mistake tu hujapangwa kwenye zone yyte, na bahati namba unayo.
 
Nipo Kanda ya ziwa huku, na address yangu niliweka ya kanda hiyo, yenye nafasi 100+ simo kwenye list, hiyo ya 3, ndiyo nimo.

Sasa ndiyo nini hiki, mood ishakata.
 
Wapigie, usipofanikiwa kuwapigia siku ya usaili ongea na msimamizi mkuu, omba kuongea nae na muoneshe hizo no plus tatizo lako kiujumla.
 
Hilo tatizo lake alitatue mapema ikifika siku ya usaili msimamizi hawez kumruhusu kuingia, kama jina lake halipo kweny registrar.

Watamwambia tu nenda kawasiliane nao ndio urudi, hapo inakuwa ishakula kwako.
 
Naona wanasharia wengi wamekula Shavu huko NPS..
Now tunasubiria mikeka ya November & December.
Kuna hizi Taasisi.

HESLB, MDA's &LGA's, SUA, OUT, TARI, ASA, WIZARA YA KILIMO(TUTORS).

Bila shaka hizi zote huu mwezi hauishi.
 
SUA walishatoa mbona.Hapo ukiondoa SUA zinabaki taasisi hizo nyingine tu.Ndio Bado Placements zao hazijatoka kama sikosei.
 
SUA achana na zile Teaching mkuu, Kuna staff members tu walifanya mwezi wa 11 mwshoni.. Wale ma Field Technician/Assistant Academician
 
Naona wanasharia wengi wamekula Shavu huko NPS..
Now tunasubiria mikeka ya November & December.
Kuna hizi Taasisi.

HESLB, MDA's &LGA's, SUA, OUT, TARI, ASA, WIZARA YA KILIMO(TUTORS).

Bila shaka hizi zote huu mwezi hauishi.
Naona PSRS km wakandaji wametafuta mkandwaji wakampata[emoji3][emoji3][emoji3] ftom jobless mpk job to psrs, daah Mungu atusaidie sote siku 1 tuamke tukute majina yetu kwenye placement...Ameen
 
Back
Top Bottom