Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

hatimaye mkuu umetoboa hongera sana
 

Kaka, ninafuraha kwa ajili yako. Hongera sana na tunakutakia kila la kheri kwenye Utumishi.
 
Hongera sana Mwifwa
 
Mkuu, mbona automatic nimejikuta nimefurahi tu kusoma hii interesting and encouraging msg,,,, congratulation for made it you deserve it ...nimefurahi just km nimekuwa wewe ,,,, lets join for celebration.....
Ahsante sana mkuu, huu ni ushindi wetu sote kwenye huu uzi.
Nilikataa tamaa ila wadau wa humu walinipika hadi nikapikika kwa nasaha za matumaini. Leo hii furaha nyusoni mwetu zimejaa tele
 
Pole sana mkuu next time itakuwa nafasi yako, kuwa na subira huku ukiendelea kupambana
Niilikuwa nimeshaanza pitiwa na usingizi nimeshtuka naingia nakuta shangwe za Mwafwa Daah usingizi umesha nimefurahi mno yani hongera sana ni kati ya wadau ambao hamtasahaulika katika uzi huu nakuombea mno kijana mungu akutangulie nasisi tupo njiani tunakuja kuchukuwa barua suti zinamalizikia kukauka,,,,nashindwa hata niandike nini ila nimefurahi mno
 
Hongera sana kaka,

Ukawe mtumishi mwenye weledi na maadili mazuri kwani kuupata huo mrija umepambana ndugu.

Hard work pays bro![emoji1545][emoji1545][emoji817][emoji817]
Ahsante sana mkuu, huu ushindi ni wetu sote tumekuwa bega kwa bega sana humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…