Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu Ahsante sana, Mungu ni mwema wakati wote.

Sprit ya uzi huu iendelee ili kila mmoja wetu siku moja aweze kufurahi kama wengine tunavyofurahi na kushare furaha hizi kwa pamoja.
 
Unapofanya usahili wa kuandika na kufaulu ktk stutus yako utaandikiwa "SELECTED FOR oral" ya kijani.

Baada ya kufanya oral na kupata alama zinazotakiwa utaandikiwa kulingana na ufaulu. Kama umefaulu inavyotakiwa na baada ya process kadhaa kufanyika utaandikiwa "SELECTED" ya kijani 'for oral na maneno mengine yatabaki black color.

Ikiwa utaandikiwa 'SHORTLISTED' then SELECTED FOR oral, maana yake na wewe ulifaulu passmark zinazotakiwa ila utalinganishwa na wale waliopo kanzi data/mliolingana passmark hivyo 'vigezo vya ziada' vinatumika kuchambua nani apate kazi na nani aachwe kwenye kanzi data.

Kwenye App "SELECTED FOR null" ni kwa wale wote waliopata passmark stahili za kupata kazi au kanzi data kulingana na ushindani wa kada husika. Ikiwa "NOT SELECTED FOR null" hapa muhusika amefeli oral moja kwa moja na kanzi data hayupo.

Wenye mabadiliko hayo wote Wana asilimia kubwa ya kupata Kazi na asilimia ya kutopata na kubakia kanzi data.

Endeleeni kupambana vijana, hamna upendeleo.
 
Ahsanthe Sana Kiongozi kwa ufafanuzi mzuri ulioshiba,,,,Nina imani wote humu ni washindi
 
Aweeeee tupe moyo baba nasi tukiendelea kusubiri siku yetu
 
Dah had nimelia,hongera sana mwifa,am so so sooo happy for u. Wewe ni ushuhuda unaoishi,Mungu akutangulie dear kwenye majukum yako mapya.
Ila usitutelekeze hum jaman,we still need u[emoji3]
 
yangu ipo ivi nasbir placement. sijui nitakandwa au nmepita. ata sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…