Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana Mwifwa hakika Mwenyezi Mungu amekupa kile ulichostahili. Furaha niliyopata juu ya makuu yaliyotendeka juu yako it's like kama tulikuwa tunafahamihana. Hakika kijana uligusa maisha ya kila mtu kwa namna ya kipekee. I wish you nothing but the best of lucky in your new journey brother.
 
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwema
 
Hongera saana kaka Mungu akutangulie kwenye majukumu yako mapya
Endelea kutuombea na wengine naona kwa upande wa NAOT ridhiki imenipita kushoto
 
Hongera binafsi nimeajiriwa nikiwa na miaka 18 tu na serikali ya JMT! ka degree nimekapatia mjengoni
 
Hongera sana kaka.
 
Iliwahi kunitokea hii. Nilichaguliwa written ila kwenye orodha ya kuingia kufanya pepa jina halipo. Walinizungusha sana hadi mwishowe nikaruhusiwa kwa kuongeza jina kwenye orodha kwa kalamu. Majibu ya ile pepa yalivyotoka still jina halikuwepo. Nilipiga simu nikajibiwa wanalifanyia kazi hadi siku ya oral najibiwa kuwa sikufaulu.
Ninachoamini ile pepa haikuwa marked
 
Duh vitu vingine viko nje ya uwezo wetu ni kuomba sana Mungu.
 
Hongera sana mpambanaji.Hakika Mungu ni mwema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…