Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

ivi kuna " selected for oral " ya rangi ya kijani yote?
Sina hakika ndomana tunaomba waliofanya written status yao ya kwanza after kufauru wrtten "" rangi ya maneno ya selected for oral ipoje. Tumeomba wa share picha kwa atakae kua na utayar.
 
Hongera sana kijana wangu, am happy for you
 
Huko juu mbona kama Kuna jamaa alituma
Uyo sasa neno moja tu ndo la kijani""" SELECTED""" maanake amefauru oral, na hatakua na shortlisted kwenye mabadiliko ya status yake, kama mleta hii mada alivo sema in short alimanisha kashapata kazi kama sikumuelewa vibaya.
Mleta hii mada anadai kuwa kama ukifauru written kijani itakuwa kwemye maneno yote ya selected for oral. Ndo tunatafuta ushaid wa picha after written
 
Ila mkuu hili neno Fauru lina "l"yaani "faulu" ukiandika hivi itamake sense sana kama Wasomi humu ndani🙏🙏
Haya tuendelee na mada yetu
 
Hyo sio kweli.. kijani inakuwa kwenye neno moja tu SELECTED na linakuwa kwa herufi kubwa
 
Ila mkuu hili neno Fauru lina "l"yaani "faulu" ukiandika hivi itamake sense sana kama Wasomi humu ndani🙏🙏
Haya tuendelee na mada yetu
Hahahahha yap naelewa atanikiwa naandika najua kuna sehem nime wrong herufi coz nipo nafanya vitu vingi hapa so najitaid kufikisha ujumbe bila kurekebisha kukimbizana na mambo yangu mengine hapa.
 
Utulie jamani na status[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…