Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wengi sana wamelamba asali lakini JIULIZE, kwanini wengi wamefurahi juu yako?......inafanya kaz nzuri
Jamaa Obviously ametumotevate sana vijana wenzie humu kwa kiasi kikubwa kwa madini Mbalimbali. Uungwana alikuwanao pia umefanya watu waapreciate mafanikio aliyoyapata.
Pia kitu ambacho niliona ni Cha kitofauti sana kwa jamaa tofauti na wengi wetu tuliopo humu kuwa jamaa alikuwa muwazi sana, kashakandwa saili kibao Ila hakusita kuleta mrejesho humu hii ilionesha kuwa jamaa ana ukomavu wa hali ya juu sana na hii ilipelekea baadhi ya watu hata kumwonea huruma na kumwombea japo kwa saili moja hii aliyofanikiwa kuingia Oral basi Mungu amtendee miujiza na kweli Mungu katenda.

Bila kusahau kuwa Mwifwa hana wivu licha ya yeye kukandwa na kupoteza mafanikio ya kupata kazi bado alizidi kuwapongeza wale waliokuwa wanafanikiwa na kuwatakia majukumu mema..

Hii iko poa sana, Mungu atutendee miujiza wote humu kwenye hii safari yetu tufike salam
 
Hakika Natamani nije kuona na huyu mwamba one day
 
Mimi toka jana naugulia maumivu ya kukandwa nikashindwa hata kuwapongeza waliopata......sijaamini bado kuwa nimekosa nafasi zile za NPS. Ha ha ha. Written nilifanya fresh kabisa, na huko oral sijui nini kilibadilika...

Anyway ndiyo life hilo...maisha lazima yaendelee. Hongereni mliopata mrija wa asali. Jina la Mungu lipewe sifa.
 
°Kuna dalili ya Uonevu NPS walisema nafasi ni 82 ila wamechukua 73, hao 9 wameenda wapi? Au washachomekwa.
°kuna uwezekani mkubwa ukawa umeonewa kwenye ORAL
 
Woow congratulations [emoji322][emoji122][emoji322]

Big up Sana champ


Wewe Ni mshindi Sana umeweza kuwa Mwalimu wa wengi

Congratulations again [emoji322][emoji122]
 
Pole sana advocate upo kanzidata na kazi zipo....
 
Mayb from database
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…