Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Usikate tamaa hakika ipo siku utafanikiwaMimi toka jana naugulia maumivu ya kukandwa nikashindwa hata kuwapongeza waliopata......sijaamini bado kuwa nimekosa nafasi zile za NPS. Ha ha ha. Written nilifanya fresh kabisa, na huko oral sijui nini kilibadilika...
Anyway ndiyo life hilo...maisha lazima yaendelee. Hongereni mliopata mrija wa asali. Jina la Mungu lipewe sifa.
Hahaaa kaka tuombe iwe hivyoMmoja ana kluger mwingine Subaru Forester!!!!!!😂😂😂😂
Kuna Hadi mwalimu, hata sielewagiOfisi ya ukaguzi madaktar wa nin au me ndo sielew nlifkiri ni mambo ya accounts tu au,nitoen ushamba
Heee walim tena,makubwaKuna Hadi mwalimu, hata sielewagi
Nadhani ni kwa ajili ya ufanisi tu, kumbuka wanakagua wizara ya elimu, afya etc... Hawatak mtu mgeni na masuala hayoKuna Hadi mwalimu, hata sielewagi
Waliochukuliwa kabla ya paper ni wangapi? Kwa maana walioachwa ni 83 i.e Wakili wa serikali 74, na WAKILI NPS 9Hapana, wengine walichukuliwa kabla ya pepa kutokana na uharaka, kumbuka kaz hiz zilikaa mda mrefu
Kufeli imo pia kaka, ndiyo maana Kuna re-advertise....I feel you broWaliochukuliwa kabla ya paper ni wangapi? Kwa maana walioachwa ni 83 i.e Wakili wa serikali 74, na WAKILI NPS 9
Ahaaa nikweli lazma wawe na watu wenye fani mbalimbali yesamrichNadhani ni kwa ajili ya ufanisi tu, kumbuka wanakagua wizara ya elimu, afya etc... Hawatak mtu mgeni na masuala hayo
Hata kama ni kwenye database walitakiwa kutangazwa na kuwekwa kwenye PDF Moja na sio kimagumashiMayb from database
Hongera sana mkuu, Mungu mwemaHabari za leo Wakuu.
Jana niliahidi kuleta mrejesho.
Nilifanya written Interview nane ,saba zote sikufika hata oral zote nilikuwa napata namba za viatu , yanane nikafika oral na ndo hii niliyopata placement.
Nilingia kwenye chumba cha wakandaji nikiwa nimevaa kadeti, shati na koti langu vizuri kabisa. Nilipoingia tu ndani nikawasalimia wakandaji wakaitikia then mmoja akasema karibu kiti.
Nilitumia muda mfupi sana nimetoka wadau wanashangaa mbona mapema sana nadhani walijua nimefukuzwa mle ndani😂😂
Baada ya hapo nilijiona mjinga sana maana nimeshindwa kujibu swali moja. Hamu ya kula ilikata kabisa niliona kama nimepoteza nafasi lakin Mungu ndo alijua.
Nimejifunza ili ufanikiwe lazima upite mambo magumu( Rejea wimbo wa Christina Shusho-Dhahabu)
1. Usikate tamaa jipe moyo ipo siku utatoboa bahati huwapata wale wanaojaribu.
2. Ukiitwa kwenye usaili fanya maandalizi haswa. Piga msuli yatima haswa pitia job descriptions zifuatilie moja baada ya nyingine. Saili nyingi za nyuma nilikuwa sijindai vizuri pia nilikuwa sifuatili trends za maswali. Unakuta unasoma research kumbe wameshaacha kutoa research.
3. Omba Mungu yeye ndo anajua ni lini atakupa.
4. Usibanduke kwenye huu Uzi. Jamii forums ni kila kitu imagine nimeanza kufuatilia huu uzi mwezi wa 10 nikapata hints kibao nikafufua matumani , mwezi wa 10 huo huo nikatoboa oral kwa mara ya kwanza. Hata uwe kipanga au kenge namna gani bila kujua trends na namna ya kujibu maswali kutoboa ningumu.
Natoa shukrani zangu za dhati kwa wadau wote wa uzi huu (Mwifa, Wizy a.k.a Wkingz mzee wa status😂😂 na wengine wote) kwa michango yenu .
N.B: Mtoto wa masikini kabisa ametoboa bila connection acha kulalamika inawezekana.
Nilivyofurahi mimi wife amefurahi mara 10 yake🤣🤣🤣
Hongera sanaa mkuuuAsante Mungu, nimetoboa.
Mungu mkubwa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Mungu mkubwa.
Hongera sana mkuu, mnazidi kutupa matumaini na sisi ambao tulikuwa tumekata Tamaa.Ahsante sana mkuu. Muda ndio huwa unadetermine mambo, kwa sasa hilo haliwezekani ukizingatia mfumo wa ajira tuliorisishwa na Mzee wa Chattle pia unapigilia msumari.
Binafsi nipo kwenye early 30, mfumo usingetikiswa ningeingia kwenye mrija nikiwa kwenye late 20.
This is all about God's plan, tunapaswa kushukuru pia
Ni kweli initially moyo sanaaa..ni kama vile wagonjwa waliolazwa ma-hosptalini amuonapo mwenzake anaruhusiwa na yeye anapata matumaini sanaaa.Nikiona mtu kapata kazi huwa nafurahi naamin na mm soon tu naingia, tuwe na imani ndugu zangu tutafanikiwa...
Amen.Pole sana advocate upo kanzidata na kazi zipo....
Kuna rafiki angu tulifanya wote usaili MDA, Sa kabla ata placement za MDA hazijatoka akapata kazi legal officer halmashauri fulan, na hajawi fanya interview yoyote tofauti na hizi, na hiyo placement ilitoka nahisi December mwanzoni.Hata kama ni kwenye database walitakiwa kutangazwa na kuwekwa kwenye PDF Moja na sio kimagumashi
Naam. Ndiyo spirit hiyo. Ukianguka unapangusa vumbi unaendelea mbele.Usikate tamaa hakika ipo siku utafanikiwa
Hongera sana kaka...Finally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
yani namuomba sana mungu huu mwaka uwe wa mafanikio kwangu jamanHshaha bado sisi dear,Mungu akatuone
wahi mwenzangu[emoji2088]