Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sanaaaa
 
-Yeah hebu chukua mfano rahisi unataka kujua ufanisi wa Machine ya MRI,CT SCAN, ukiwa umesomea Accounting utaweza kujua ufanisi wa hizo machine? Hapo automatically atahitajika Biomedical engineer ndio ataweza kujua efficiency ya hizo machine
Huu msumari ni wa zaidi ya inch 6 sasa[emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…