Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ahsante sana mkuu, ushindi tumeanza kuusherehekea tangu juzi usiku. Pole pia kwa kutingwa, ndio life hilo.

Mapambano yaendelee, kila mmoja ataingia mrijani kwa wakati wake, tuwe na subira
 
Shetan ana majarbu yan naanza kuumwa halaf nna pepa jpili🥲. Ee Mungu naomba unisimamie,maombi yenyu wadau.
Pole sana Madam MUNGU NI MWEMA na usahili utashinda, nakumbuka kwenye sahili zote mbili writen na oral mwishoni mwa november niliumwa tumbo sana ila MUNGU alivyo mkuu aliniwezesha kuzifanya zote mbili... MTUMAINI YEYE TU KWA IMANI
 
MDA


Afisa Utumishi na Afisa Tawala zote written muda mmoja,Hapo inabidi uchague sehemu moja ya mkando au unaweza fanya zote kwa ruhusa maalum?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…