Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Hongera, sio kazi rahisi kuwa engineerumeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera, sio kazi rahisi kuwa engineerumeme
Utakuwa sawa Kwa uwezo wake Mungu, na paper hiyo utafanya vizuri na kupata kazi🤲Shetan ana majarbu yan naanza kuumwa halaf nna pepa jpili🥲. Ee Mungu naomba unisimamie,maombi yenyu wadau.
Na mimi naumwaPole kipenzi
Sawa, ngoja nipeleke barua na vyeti kwanzaKaka angu ntafanya juu chini ofisini uingie na saa[emoji3]
Placement haina siri ni dakika t ishajulikana mbivu na mbichiWe tulia waachie kazi hapa utapata taarifa bila kuuliza[emoji3]
Sawa Kiongozi....We tulia waachie kazi hapa utapata taarifa bila kuuliza[emoji3]
Wakuu , idara ya uhamiaji, mwenye msaada huko tuvutane.
Wazo zuri sana
Umeongea jambo la maana kabisa mkuu. Hili linawezekana kabisa
Kabisa mkuu[emoji1431]
Hahahah Mkuu umetisha kwa ufafanuzi mzuri.Hahahahaha! Mkuu kuwa na amani sana.
Kuna watu humu watafuta ajira wanashinda kwenye website kama tu wafanyakazi wa psrs, wanaingia asubuhi na kutoka jioni. Na mara nyingine wanabaki kazini mpaka saa tano au sita za usiku (over time).
Kwa hiyo kuwa na amani, kikitokea chochote ni lazima kitaletwa humu haraka.
Wewe fikiria kuna mtu anaweza kukupa na takwimu kabisa kwamba siku ya Ijumaa tarehe fulani website ilikuwa nzito kuanzia muda fulani mpaka muda fulani.
Utasikia "Ukiwa na shida za kujua ABC za NAOT, wewe niPM tu" (jokes)Tutoeni mawazo, ni ajabu sana kama tutaishia kujua kwamba pale Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima nina jamaa yangu wa Jf anaitwa Ahmet na bado sina namna ya kufaidika naye.
Au NAOT yuko ndugu yetu Mwifwa na kuna mtu anatamani kujua maisha ya pale ofisini yakoje lakini hana namna ya kumfikia tufauti na ID faki.
Au ukute una ndugu yako anataka kwenda kupigwa mionzi pale Ocean road na unajua kabisa kuna wizy lakini huna namna ya kumtumia kubadilishana mawazo.
Japo usiri uliowekwa Jf ni wa muhimu lakini kama wasomi ni vizuri tukawaza namna ya kufaidika na wataalamu wa humu.
Asante maaPole kipenzi
Ameeen na iwe hivyo[emoji120]Utakuwa sawa Kwa uwezo wake Mungu, na paper hiyo utafanya vizuri na kupata kazi[emoji2969]
Chini ya miaka 25Wakuu , idara ya uhamiaji, mwenye msaada huko tuvutane.